Siku mbaya JF

Kwenye somo la MEASUREMENTS AND EVALUATION,
Humo ndani utajifunza sana jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na wakati sahihi....[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah! Mkuu kuna jamaa ukiandika Uzi wanakuja kama nyuki kwenye ua halafu wanavuruga balaa.
Nakumbuka kuna siku ulinipa binge la ushauri na nimeufanyia kazi na matokeo kila siku J.F ni njema
 
Kureport na Kublock fake ID online ni kuonyesha kiasi gani uko soft mentally kiasi cha kuruhusu maneno yakupande kichwani hadi kuumia moyo na kuwa stressed. Hii ni online tu Real Life Way Tough.

Mtu aliye tough mentally hawezi yumbishwa na wapuuzi wachache online. utamuignore bila kumjibu (nafsini unasema huyu fala hana maana then unapotezea), utamalizana nae kibabe au atamjibu kwa hoja na kistaarabu mpaka ajione fala legitimately.

Mwanamke kublock mtu sio ajabu sababu inajulikana wapo sentimental, emotional na soft mentally and in general. Lakini mwanaume kureport lakini hasa kublock mtu ni sign ya kuwa submissive na weak mentally and physically. Hiyo ni feminie feature. Na hii ni kuonyesha ni jinsi gani kizazi cha sasa kipo weak, soft na compliant.

Sababu swali linakuja, utafanya nini hicho kitu kikitokea in real life? utamblock? how? au utakimbia? then nani ataprotect familia yako?

Solution ni watu wajinze kuwa stoic, critical with a tough mindset.

Sent from my G011A using JamiiForums mobile app
 
Madini sanaa
 
Daaah! Mkuu kuna jamaa ukiandika Uzi wanakuja kama nyuki kwenye ua halafu wanavuruga balaa.
Nakumbuka kuna siku ulinipa binge la ushauri na nimeufanyia kazi na matokeo kila siku J.F ni njema
💪🏿🔨📌🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…