Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Hongera sana.
Afu una khabari kuna ugeni mzito A-City? Cheki na LiverpoolFC fasta.
charminglady lazima niende mlingotini yaani yaani yaani yaaani yaaani yaani yaani hujanitaja hata kurekognize kwamba nipo
Hapa naona kuna mkono wa Erickb52 na Nicas Mtei tuu sikubali
Hongera sana kwa kuwa kwako humu. Mimi sijui hata nani alinikaribisha ila ni mkongwe sana humu aise
endeleeni kuwa pamoja tu, ila natamani maneno ya kwenye signature yako ungekuwa unayafata mkuu wa kikuyu
Kuna mengi wengi watakupa nawe utafurahi, lakini hayo yote hayawezi kulizidi pendo la Baba na Mama.
Tunakupenda sana our little princess, uwe na amani siku zote ukaazo hapa jamvini ukijua kuwa tupo tunaokujali.
Much love from,
Daddy, watu8 na Mummy measkron
hongeraaaaaaaaaaaa
Hongera sana.
charminglady lazima niende mlingotini yaani yaani yaani yaaani yaaani yaani yaani hujanitaja hata kurekognize kwamba nipo
Hapa naona kuna mkono wa Erickb52 na Nicas Mtei tuu sikubali
Hongera sana kwa kuwa kwako humu. Mimi sijui hata nani alinikaribisha ila ni mkongwe sana humu aise
endeleeni kuwa pamoja tu, ila natamani maneno ya kwenye signature yako ungekuwa unayafata mkuu wa kikuyu
Kuwa pamoja we kunakuuma nini C6 ?endeleeni kuwa pamoja tu, ila natamani maneno ya kwenye signature yako ungekuwa unayafata mkuu wa kikuyu
Mwambie atulie....kama alikuacha anataka nini tena aisee?Kumbe kawivu bado kapo eeehhhh..... :becky: :becky:
One step at a time...na ufike mpaka ya mia nane....yehiiiii
Mwambie atulie....kama alikuacha anataka nini tena aisee?
Heheheee ngoja nimpe ID ya uncle wangu acheki nae PM
na huyu View attachment 90228atakuwepo siku hiyo kuleta shamrashamra hapo waonaje hilo?
Erickb52 na charminglady najutaaa kuwafahamu