Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Life stlye zetu mbaya zinachangia ,yaani hiki changu nikikitazamaga napata hasira:biggrin1:
Kipi sasa cha mbele ama cha nyuma?
Life stlye zetu mbaya zinachangia ,yaani hiki changu nikikitazamaga napata hasira:biggrin1:
Cha nyuma kimehamia mbele Masa basi! ..............ound:
kitambi kwa mwanamke ni moja ya vitu nisivyopenda-Ila vikizidi sana 'vinaboa'!
Asee, wale akina eliza wa kwa mjapani wana vitumbo au matumbo?
Napenda vitambi vya nyuma
ona kama hiki cha kishikaji, Mchina hajafanya mambo
Ikibinda nkoi
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale tumbo linapokuwa kwenye uwiano
na kalio.
Sasa kama unapenda tumbo liwe na uwiano na kalio,unawapa ushauri gani?Wale nini au wafanye mazoezi gani.
Huenda ukamsaidia hata mmoja na ukawa umeleta tofauti.
Sasa kama unapenda tumbo liwe na uwiano na kalio,unawapa ushauri gani?Wale nini au wafanye mazoezi gani.
Huenda ukamsaidia hata mmoja na ukawa umeleta tofauti.