DJkus JF-Expert Member Nov 9, 2018 354 467 Dec 4, 2019 #61 Kwa hao wasio na kazi sina neno nao. Ila kwa wanawake wanaofanya kazi, kuna uzi ulikuwa unauliza mke achangie kiasi gani. Wanajamvi wakamshauri mke hapangiwi, afanye kwa hiari yake,. Pesa ya mume ni ya wote ila ya mke ni yake. OVA!
Kwa hao wasio na kazi sina neno nao. Ila kwa wanawake wanaofanya kazi, kuna uzi ulikuwa unauliza mke achangie kiasi gani. Wanajamvi wakamshauri mke hapangiwi, afanye kwa hiari yake,. Pesa ya mume ni ya wote ila ya mke ni yake. OVA!
Swet-R JF-Expert Member Jul 20, 2018 5,613 8,048 Dec 4, 2019 #62 funzadume said: Mie sio dogo futa hiyo kauli kabisa Click to expand... Nimefuta mkuu.
mama D JF-Expert Member Nov 22, 2010 19,760 35,205 Dec 4, 2019 #63 Samcezar said: Pia ungefanya utafiti juu ya kuongezeka kwa idadi ya makahaba ambao kwa sasa hawasimami barabarani tena, bali tunashinda nao maofisini na vyuoni humo. Click to expand... Mkuu Samcezar tena kwa wote wanawake na wanaume lol
Samcezar said: Pia ungefanya utafiti juu ya kuongezeka kwa idadi ya makahaba ambao kwa sasa hawasimami barabarani tena, bali tunashinda nao maofisini na vyuoni humo. Click to expand... Mkuu Samcezar tena kwa wote wanawake na wanaume lol
darren gold JF-Expert Member Jun 15, 2016 312 185 Jan 27, 2020 #64 usitamani maisha yao, NDOGO zao zinateseka sana.
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,208 18,476 Jan 27, 2020 #65 Ni zile tunazowahonga..... Sent using Jamii Forums mobile app
be unique JF-Expert Member Oct 12, 2016 2,375 2,274 Jan 27, 2020 #66 Kuwa mwanamke sio tatizo,ila ni mzuri?
S Saveya JF-Expert Member Aug 18, 2019 2,310 2,246 Jan 28, 2020 #67 radicals said: mmh, kwa mawazo yako haya, bila shaka sehemu zako zinatumika sana Click to expand... Kabisa tena usikute hata mtandao washatumia
radicals said: mmh, kwa mawazo yako haya, bila shaka sehemu zako zinatumika sana Click to expand... Kabisa tena usikute hata mtandao washatumia
S Saveya JF-Expert Member Aug 18, 2019 2,310 2,246 Jan 28, 2020 #68 mtzedi said: Hivi UDSM kuna medicine siku hizi? Click to expand... Ndiyo, ila hawasomei 'main campus '
mtzedi said: Hivi UDSM kuna medicine siku hizi? Click to expand... Ndiyo, ila hawasomei 'main campus '