Siku hizi wanakuja hadi nyumbani.

Siku hizi wanakuja hadi nyumbani.

wewe watu wanaongeleaa magroup ya ngono wengne wapo badoo wanajiuzaa sasa swali lako umepata majibu
Samahani sana mkuu nilichanganya kidogo hapa nilidhani ulireply uzi wangu wa uhuru kenyata. samahani ndugu.
 
Dawa ya ukimwi ikipatikana sijui litaibuka gonjwa gani linaloenea kwa njia ya ngono zembe.
 
Aisee the world is falling apart.... Mambo niliyoyaona huko kwenye hizo sites yanatisha. Vijana wanaofanywa kinyume ni wengi. Oooh Lord have mercy
 
Hizo site na hayo magroup wamejaa wanaume utasema wamekosa kazi kujisifia sasa kiboko kweli wanaume tunapungua sana
 
hongera JF haimo kwenye list ya wadada cheap!!!!!!!!
 
Hii Hapa

9930a4a2d7c7f1b541f2b033fce218a9.jpg
8d0449dc2bbebb33948138bf61e9e23b.jpg
Aise.....
 
Back
Top Bottom