Mkuu hicho kizazi ndio kwa heri,Marehemu Kawawa amejenga Madale ambako kwa umbali na mazingira nina hakika hakuna kiongozi anayejenga huko kuishi hata sasa acha kipindi hicho Kawawa anahamia pakiwa pori kweli kweli!!!
Hakuna wa kumfunga paka kengele maana hata wakurugenzi wa vitengo "nyeti" wana mashangingi huku hata hospitali ya Taifa Muhimbili vitanda hakuna!!!
Yaani maana yake hata kuchagua tu tufanya nini kwanza tumeshindwa!!! Tutaweza kutafiti na kuweka mipango ya miaka 100 mbele!!!!
Ndiyo tunao! Ingawa sijajua hao wamebeba nini, ila tofauti tu kuwa viongozi wa sasa kwenye hayo mabegi wanajaza pesa na kupeleka uswis, wanajaza pembe na meno ya tembo, wanajaza madini kama dhahabu, almasi, tanzanite etc. au hata maboksi ya kura.

Sasa hivi tuna BORA LIENDE!!!!!!!!!
WE unazani anaweza kubeba mzigo kama hivyo?? si bora amwajiri mtu wa kumlipa ambaye atakuwa nae akimbebea mizigo kila wakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.