Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,605
Nisimtakie mama kisa hilo jishepu? Mimi nimesema maoni yangu na si lazima mawazo yako yafanane na yakoswitii una uhakika hayo yasemwayo?
nijuavyo wanawake hawatakiani mazuri, hiyo picha yaonyesha ya kitambo sana na hii ni ya karibuni, mwanadamu hubadilika kumbuka anamwagiwa mafuta yale kila mara so lazima anone
Sent using Jamii Forums mobile app
umeamka je huko bibieNisimtakie mama kisa hilo jishepu? Mimi nimesema maoni yangu na si lazima mawazo yako yafanane na yako