Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,742
- 25,678
Shikamoo mchina
Yote hii nikwaajili ya kuvutia wanaume tuje hapo kwa nguvu zote mweeee mtuonee huruma kidogo jamani😉Shikamoo mchina
Umeona eeh? Hata sura ilikuwa nzuri ukilinganisha na hapo baada ya kujifanya hivyo
Cha kushangaza,Huyu mtoto naona kaandamwa sana aisee.
Dah, it ain't fair haters.
[emoji3][emoji3][emoji3] eeeh anatufanya tujione kama Mungu hatupendi sisi kumbe ye kafanya maarifa binafsi
Hii picha ni dhamana tosha Kituoni kumtoA ndugu yako Lokapu[emoji41][emoji41]View attachment 1001040
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]