hiyo chupa ya amarula ipo tupu..! tehe.
Mkuu saragossa umeonaeeh? Boflo atueleze hapo anajipongeza baada ya kumtesa Dr, na kumng'oa kucha na meno kwa hiyo plaizi. :spy:Mbona kuna plaizi hapo chini ya meza? Au nyie ndo mlitoa kucha za ulimboka pale msitu wa pande na hapo ndo mna celebrate? Loh!
Umeona ghetto ilivyo eeh...Kumbe nawe unabeba box..