Siku hizi kwani kuna kutongoza??

Siku hizi kwani kuna kutongoza??

Kutongoza kuliisha zamani sana mkuu..... huyo alikushangaa unanunuaje utelezi kwa 150k...

Alikuona kama boya hivi na sio kwamba alikushangaa kununua...
 
Hapo utakuta hata father wake au mather hajawahi kumpa kiasi cha hiyo hela hata siku.haha jokea bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom