Thread nzuri. Itakuwa ilinipita. Post ya Mentor imeniacha hoi.
Most of his comments ziliniliza kwa vicheko... kuna post i had to give him a rite to let him know nacheka kwanza...
Umeona correlation za hizo age na jinsi gani zina affect love??
Nimeona. Classifications za ages ulizotaja zinazodetermine maturity and life experience. Labda ambacho ningeongezea ni kuwa more than the biological ages, there are also mental ages. Some argues that within the legal bounds, biological age has nothing to do with the success or failure of the relationship. But it does not follow that there should be no boundaries when one or both of the couple is/are underage/overage.
Sasa uanze kuelezea wewe vile ujuavyo!Kama mwingine ataona ni kuzinguana..ujue mwingine ataona ndio mapenzi halisi.kuna tofauti kati yangu mm na ww kuhusu kufaham mapenzi,mm nafaham kvle na ww unafaham khvi!
nataka simplified labda nitaielewa.kweli zipo Traditional Chinese na Simplified Chinese.
Yea jf mambo vp,jaman nisaidien kufaham kuhusu suala zima la mapenzi.
1.hivi nn hasa maana ya mapenzi?
2.hakuna maisha bila mapenzi?
3.kwnn baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi?
4.siku hizi kuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tu siku ziende?
Nawakilisha wakuu.
1.hivi nn hasa maana ya mapenzi?
2.hakuna maisha bila mapenzi?
.kwnn baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi?
4.siku hizi kuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tu siku ziende?