Siku hivi:"Ndoa=Kupasha Kiporo Moto?"

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Nimewaza sana kuhusu ndoa za siku hizi zinagharama kubwa lakini utakuta watu wamekua BF na walikuwa wanachengana kwa miaka saba au zaidi. Zamani zile mke na mume wanaoana bila hata kukutana kimwili na ni lazima kitambaa chenye damu kitoke chumbani siku ya harusi kiende hadharani watu waone na kushangilia sana, mi si wa zamani sana ila nilishuhudia moja, hii ina maana kuwa enzi hicho bikira ni kitu cha dhamani sana.Je miaka hii yapo hayo? ndio maana nasema tunapasha kiporo moto maana kila kitu tumemaliza hata ile bikira ya nyuma utakuta haipo. Je mahali iwe kubwa na gharama kubwa za kuandaa harusi za nini?. Naomba maoni yenu wanaJF.
 
Go and Edit this version of maneno then tell us kuwa umebadili maneno mazito na lugha kali sana.
 
Nimewaza sana kuhusu ndoa za siku hizi zinagharama kubwa lakini utakuta watu wamekua BF na walikuwa wanachengana kwa miaka saba au zaidi. Zamani zile mke na mume wanaoana bila hata kukutana kimwili na ni lazima kitambaa chenye damu kitoke chumbani siku ya harusi kiende hadharani watu waone na kushangilia sana, mi si wa zamani sana ila nilishuhudia moja, hii ina maana kuwa enzi hicho bikira ni kitu cha dhamani sana.Je miaka hii yapo hayo? ndio maana nasema tunapasha kiporo moto maana kila kitu tumemaliza hata ile bikira ya nyuma utakuta haipo. Je mahali iwe kubwa na gharama kubwa za kuandaa harusi za nini?. Naomba maoni yenu wanaJF.

I think this guy witnesses what he has seen, otherwise huwezi kuongea kwa kujiamini namna hii jambo ambalo halijakuathiri in any way!....Kama ndivyo Dr.Tonge, POLE rafiki yangu, lakini what i want to say is that dunia imesogea kwenye point of no return, na kwasasa haiwezekani kubadilisha utaratibu uliopo!.Utandawazi umeathiri sana wabongo!..Cha kufanya ni kufanya lililopo chini ya uwezo wako kwa watoto wako, then kama wataamua kwenda tofauti ni juu yao!
 
Back
Top Bottom