Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,359
Mbowe kasema watatumia jitihada zote wasimwache nje pamoja na sintofahamu ilotokea...
usifikiri hii ishu imeanza leo. mbona ipo kitambo, sema ilikuwa chini ya kapeti. ni ukweli ulidhahiri kuwa slaa alikuwa anaburuzwa na mbowe. wakati huohuo mshauri mkuu wa mbowe akiwa mkwe wake mtei. kilichoamliwa na mtei-mbowe hakukuwa na wakukipinga. tatizo lenu nyie ni misukule. tuliwambia sana humu lakini ndo hivyo hamuambiliki. binafsi hata sishangai haya ninayoyaona.Nikikumbuka mshikamano wa Mbowe na Slaa sielewi inawezekana vipi haya yafike huku.....
usifikiri hii ishu imeanza leo. mbona ipo kitambo, sema ilikuwa chini ya kapeti. ni ukweli ulidhahiri kuwa slaa alikuwa anaburuzwa na mbowe. wakati huohuo mshauri mkuu wa mbowe akiwa mkwe wake mtei. kilichoamliwa na mtei-mbowe hakukuwa na wakukipinga. tatizo lenu nyie ni misukule. tuliwambia sana humu lakini ndo hivyo hamuambiliki. binafsi hata sishangai haya ninayoyaona.
mimi siko chadema lakini ninawashikaji wengi tu ndani ya chadema wanaonipa michapo kila kukicha. ajabu wewe upo chadema unaishia humu mitandaoni. aibu.
Wazee Wa mtakiona chamtema kuni magamba wanaweweseka mpaka na kamanda wao Wa vita ccm bye byeIkimbidi Dr Slaa aongee...atasema mstari mmoja tu...
"Freeman Mbowe anapaswa kuongezwa kuwekwa namba 12 kwenye List of shame"
ikibidi usioige hata kura yenyewe kabisadr.akiongea kura yangu ndo nitajua pakuipelekaa
Hizi akili za kujadili watu sijui tuweke lundi gani. Dr katulia kwake na familia yake,Ukawa mnamchokonoa.CCM wametulia,wanafanya yao. Baadaye mtadai mmeibiwa.