Siku chache zijazo wafanyakazi wanaenda kuneemeshwa

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
343
1,006
Wakuu

Yule kinara wa kujipatia ushindi wa mezani siku chache zijazo anaenda kujipatia ushindi tena. Anaenda kutangaza neema kwa wafanyakazi (watumwa) wa nchi hii, ikiwa imesalia miezi michache tuingie kwenye uchaguzi mkuu.

Hii itakuwa ni zaidi ya kikokotoo.

Atatangazwa na kusifiwa kila kona.
 
TUCTA (tawi la CCM) waanze kuandaa maandamano kwenye kila halmashauri kwa ajili ya kumpongeza, kumtukuza na kumpa sifa mzalendo namba moja, kiongozi wa wanyonge na kiongozi aliye vunja rekodi ya kupendwa, mheshimiwa ndugu dakata Joni.
 
Watumishi wanaimani kubwa na mhesnimiwa ndio maana wanaunga mkono juhudi kwa kuchapa kazi kwasi ya awamu ya nne,hao wanaopita humu kulalamika niwale wafanyakazi hewa na wapiga madili ambao kwa sasa wanaishi kama mashetani.
Kabisa watumishi wa umma wapo maofisi wanafanya kazi wapiga domo humu ni vibaka jamii tu rais watumishi wanampenda wababwabwaji humu wengi niwale ghost workers waliotolewa na mpedwa rais.
 
Kabisa watumishi wa umma wapo maofisi wanafanya kazi wapiga domo humu ni vibaka jamii tu rais watumishi wanampenda wababwabwaji humu wengi niwale ghost workers waliotolewa na mpedwa rais.

Siyo vizuri kuleta propaganda kwenye mambo ya msingi. Ukweli ni kwamba tunakoelekea iwapo mkuu wenu ataendelea kukaza shingo kwa kuwadhulumu wafanyakazi haki zao za msingi kwa kisingizio dhaifu cha kujenga miundombinu, hali ya utendaji kazi itashuka kwa kiwango kikubwa.

Wafanyakazi wengi wanaojitambua wameshaanza mgomo wa chini kwa chini kutokana na morali yao ya kazi kushuka. Wengi wanazingua tu makazini! mfano mzuri ni walimu wa sekondari!!
 
Watumishi wanaimani kubwa na mheshimiwa ndio maana wanaunga mkono juhudi kwa kuchapa kazi kwasi ya awamu ya nne,hao wanaopita humu kulalamika niwale wafanyakazi hewa na wapiga madili ambao kwa sasa wanaishi kama mashetani.

Eti watumishi wana imani kubwa na mheshimiwa!! Yupi huyo? Bora hata jk alikuwa na utu na alikuwa ni kiumbe mnyenyekevu na msikivu. Watumishi wenye akili kwa sasa wanagoma tu chini kwa chini. Wapo busy na mambo yao na kama hawana, utawakuta wanapiga tu porojo maeneo ya kazi. Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini walimu walio wengi wanawakimbizia watoto wao shule nzuri za binafsi? Wapo radhi kukopa hata kwa riba ili watoto wao wapate elimu bora.

Na kwenye hizo shule za serikali za elimu bure unakutana na watoto wa "wanyonge" ndiyo waliojazana huku wakipata elimu chini ya kiwango. Nani atayekubali kufanywa hana akili na wanasiasa uchwara?
 
Siyo vizuri kuleta propaganda kwenye mambo ya msingi. Ukweli ni kwamba tunakoelekea iwapo mkuu wenu ataendelea kukaza shingo kwa kuwadhulumu wafanyakazi haki zao za msingi kwa kisingizio dhaifu cha kujenga miundombinu, hali ya utendaji kazi itashuka kwa kiwango kikubwa.

Wafanyakazi wengi wanaojitambua wameshaanza mgomo wa chini kwa chini kutokana na morali yao ya kazi kushuka. Wengi wanazingua tu makazini! mfano mzuri ni walimu wa sekondari!!
Upo sahihi 100%,kuna mgomo ambao sio rasmi plus kuibiwa muda mwajiri ili mtu akatafute shilingi za kukidhi mahitaji yake,mambumbumbu hawataelewa comment yako...
 
Eti watumishi wana imani kubwa na mheshimiwa!! Yupi huyo? Bora hata jk alikuwa na utu na alikuwa ni kiumbe mnyenyekevu na msikivu. Watumishi wenye akili kwa sasa wanagoma tu chini kwa chini. Wapo busy na mambo yao na kama hawana, utawakuta wanapiga tu porojo maeneo ya kazi. Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini walimu walio wengi wanawakimbizia watoto wao shule nzuri za binafsi? Wapo radhi kukopa hata kwa riba ili watoto wao wapate elimu bora. Na kwenye hizo shule za serikali za elimu bure unakutana na watoto wa "wanyonge" ndiyo waliojazana huku wakipata elimu chini ya kiwango. Nani atayekubali kufanywa hana akili na wanasiasa uchwara?
Kwa taarifa awamu hii watoto wamepunguwa sana huko private schools na walimu wanawapeleka watoto wap kwenye shule wanazofundisha kwani wanajua kiwango cha elimu shule za serikali kimepanda baada ya walimu vilaza kutumbuliwa,waliobaki ni walimu weledi na wanapiga kazi kisawasawa kuwanoa watoto.Wewe utakuwa umefukuzwa serikalini ukaenda kujibanza uko private.
 
Back
Top Bottom