Siku chache zijazo wafanyakazi wanaenda kuneemeshwa

Siku Hizi adi vitu vilivyoandikwa kwenye maratasi kama makubaliano ki sheria mnasubiri mdomo wa mtu autamke. Siku akiumwa mdogo ampewi. Kweli maiti ni maiti tu - Kenyatta uliona mbali sana
 
Kwa taarifa awamu hii watoto wamepunguwa sana huko private schools na walimu wanawapeleka watoto wap kwenye shule wanazofundisha kwani wanajua kiwango cha elimu shule za serikali kimepanda baada ya walimu vilaza kutumbuliwa,waliobaki ni walimu weledi na wanapiga kazi kisawasawa kuwanoa watoto.Wewe utakuwa umefukuzwa serikalini ukaenda kujibanza uko private.
Mkuu unajua ulichoandika...? Hali za shule za gvt ni mbaya hasa hasa sec.
 
Watumishi wanaimani kubwa na mheshimiwa ndio maana wanaunga mkono juhudi kwa kuchapa kazi kwasi ya awamu ya nne,hao wanaopita humu kulalamika niwale wafanyakazi hewa na wapiga madili ambao kwa sasa wanaishi kama mashetani.
Hawa wanaowatetea itakua ni ndugu zao maana wanakosa vimizinga vya hapa na pale
 
Hakuna cha madaraja wala nini, atakachofanya mkuu ni kupunguza kodi mfano unakatwa kodi elf 50 sasa itapunguzwa hadi uanze kukatwa elf 47790/= then atahaidi kuongeza mishahara mwaka kesho yaani 2020 ikifika mwaka huo kitachofuata tutakuwa tunaelezana maana bado tupo...... Atawaambia nchi iko kwenye mageuzi/mapinduzi ya kuelekea uchumi wa viwanda, atazungumza stigilajoji, Jiji la Dodoma, mabombadia, ma rea na atawaomba muwe wavumilivu na mchape kazi atawakumbusha kuwa anashughulikia tume ya kufanya ulinganifu wa mishahara, atawaeleza jinsi anavyotoa Elimu bwerere nk
 
B
Wakuu

Yule kinara wa kujipatia ushindi wa mezani siku chache zijazo anaenda kujipatia ushindi tena. Anaenda kutangaza neema kwa wafanyakazi (watumwa) wa nchi hii, ikiwa imesalia miezi michache tuingie kwenye uchaguzi mkuu.

Hii itakuwa ni zaidi ya kikokotoo.

Atatangazwa na kusifiwa kila kona.
Hana fedha wala nia ya kuongeza mishahara,hapendi kuwaona mkifurahia maisha.Mwenye fedha utamtambua kwa matumizi ayafanyayo.
 
Wakuu

Yule kinara wa kujipatia ushindi wa mezani siku chache zijazo anaenda kujipatia ushindi tena. Anaenda kutangaza neema kwa wafanyakazi (watumwa) wa nchi hii, ikiwa imesalia miezi michache tuingie kwenye uchaguzi mkuu.

Hii itakuwa ni zaidi ya kikokotoo.

Atatangazwa na kusifiwa kila kona.
unawaita watoa huduma kwa umma watumwa? wivu wa kukosa ajira serikalini huu
 
Wakuu

Yule kinara wa kujipatia ushindi wa mezani siku chache zijazo anaenda kujipatia ushindi tena. Anaenda kutangaza neema kwa wafanyakazi (watumwa) wa nchi hii, ikiwa imesalia miezi michache tuingie kwenye uchaguzi mkuu.

Hii itakuwa ni zaidi ya kikokotoo.

Atatangazwa na kusifiwa kila kona.

THUBUTU, HANA HIYO HELA.
MKUU HIVI UNAJUA PATO/MAKUSANYO YA NCHI HII KWASASA NA MADENI YAKE ?
 
Nitakapoona ndo nitaamini! Kwa ajili ya kiki Sizo anaweza kufanya lolote. Kiki alizopata kwenye saga la kikokotoo ni motivation ya kutosha kutaka kiki zaidi!
 
Back
Top Bottom