Siku 60 baada ya Uchaguzi: Ni wabunge wachache waliofanya cha maana jimboni, wengi wapo Dar

Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.

Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.

Huku majimboni pia kwa kuwa kampeni zao hazikuwa serious wananchi atutambui hata walituahidi nini maana wengi awakupata hata huo muda wakutoa ahadi.

Dr. Bashiru wafukuze wabunge huko mjini waje wafanye kazi walizoomba, ukitupuuza wananchi atutakuwa na chakukufanya ila tutakuwa na chakuwafanya kama tulivyowafanya uchaguzi uliopita. Mlitudharau kwa miaka mitano, mlipokuja kuomba kura tukawakataa adharani hadi mkatumia nguvu ya dola kupata uteuzi badala yakuchaguliwa.

Jifunzeni kuheshimu walio wengi wenye shida kuliko kuwakumbatia wachache walioshiba.
Siyo kweli sawasawa kwani huyo jamaa mwenye kofia nyeupe kwenye picha hii pia ni mbunge na hapo yuko jimboni kwake mara baada ya kuapishwa akiwa anashirikiana na wananchi wake kutatua kero za usafiri.

1608939884881.png
 
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.

Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.

Huku majimboni pia kwa kuwa kampeni zao hazikuwa serious wananchi atutambui hata walituahidi nini maana wengi awakupata hata huo muda wakutoa ahadi.

Dr. Bashiru wafukuze wabunge huko mjini waje wafanye kazi walizoomba, ukitupuuza wananchi atutakuwa na chakukufanya ila tutakuwa na chakuwafanya kama tulivyowafanya uchaguzi uliopita. Mlitudharau kwa miaka mitano, mlipokuja kuomba kura tukawakataa adharani hadi mkatumia nguvu ya dola kupata uteuzi badala yakuchaguliwa.

Jifunzeni kuheshimu walio wengi wenye shida kuliko kuwakumbatia wachache walioshiba.
Mbunge hajengi choo,hajengi Darasa,hajengi zahanati,kazi yake ni kuongea tu bungeni,kusema changamoto za jimboni mwake,
 
Huku SAME amebakia Kilango peke yake tu na viongozi wa wilaya.
Mbunge wa Same Magharibi ametelekeza jimbo.
Hahudhurii vikao vya baraza la kuapishwa madiwani, DCC, RCC, ROAD BOARD, Kikao cha wadau wazawa (wacharo) au Diaspora na hata ziara za mawaziri wa Ardhi, walemavu na maji haonekani.
Chama Dodoma tuleeteeni huyu mtu tushirikiane ujenzi wa shule tafadhali.
 
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.

Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.

Huku majimboni pia kwa kuwa kampeni zao hazikuwa serious wananchi atutambui hata walituahidi nini maana wengi awakupata hata huo muda wakutoa ahadi.

Dr. Bashiru wafukuze wabunge huko mjini waje wafanye kazi walizoomba, ukitupuuza wananchi atutakuwa na chakukufanya ila tutakuwa na chakuwafanya kama tulivyowafanya uchaguzi uliopita. Mlitudharau kwa miaka mitano, mlipokuja kuomba kura tukawakataa adharani hadi mkatumia nguvu ya dola kupata uteuzi badala yakuchaguliwa.

Jifunzeni kuheshimu walio wengi wenye shida kuliko kuwakumbatia wachache walioshiba.
Wacha wale Raha mkuu Mishahara Mil.11 unataka wakazilie vijijini?
 
Back
Top Bottom