Siku 6 zimebaki kieleweke selection za vyuo vikuu 2017/2018

Upo safe kama umechagua, tatzo wengi wana ufaulu wa kuungaunga alaf anachagua MD, BVM, cjui engeneering ila hawataki kuangalia ufaulu upo vp, ni kwel unakuta kwenye course cutoff points wanataka labda 5 na wewe una 6 au 7 lakn wangap wamechangua course iyo iyo ila wana points 9, 10, 12 au 14?
hakuna point 14 wewe mwisho kumi
 
Back
Top Bottom