Siku 6 zimebaki kieleweke selection za vyuo vikuu 2017/2018

Siku 6 zimebaki kieleweke selection za vyuo vikuu 2017/2018

magufuli nataka katiba ibadilishwe uongoze daima......
like hapa kama unapenda hivyo.

usipokubaliana na mimi kama unasubiria selection ,basi mambo yako yataenda hovyo au utakosa mkopo.
​
Una dosari katika akili yako huenda ukakosa vyote kabisa wewe mwenyewe
 
Zikiwa zimebaki siku 6 majina ya waliochaguliwa kusoma undergraduate programs katika vyuo tofautitofauti kutangazwa rasmi,
Napenda kutumia thread hii kuwakaribisha applicants wenzangu kutoa wishes zao kuhusu chuo na program ambayo wangependa kuchaguliwa siku ya tarehe 2/10/2017 na siku hiyo iwe siku ya screenshots za admission kwenye huu uzi na kumshukuru mungu kwa kutimiza ndoto zetu.
Post ya kwanza katika thead hii itakuwa yangu, karibu sana.
Povu linaruhusiwa, Matusi si Ustaarabu!
Mbn TBC Jana walitangaza kuwa Maj in a yametoka sasa
 
Madogo mnainata udsm kweli,,pale ni mkiki sasa njooni mlete usharo ka amjadisko,, udsm competition kubwa kwa hii kipindi yenu,,ombeni mungu watoto wa feza,alpha,mary g,mazinde ,tusiime wasiwe wameaply wengi , na uwe na division one olevel na alevel apo ndo utakua safe side... Karibuni tuwalie madem zenu[emoji11][emoji527]
 
daah sawa bhna
 
electrical eng udsm au dit chochote poa tuu
inshaaallah Mungu wangu nisaidie
 
naombeni mnishauli jamani nikisoma degree ya tourism itanisaidia kweli.
 
Back
Top Bottom