Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,013
Wadau kama mnakumbuka HESLB (Board ya mikopo ya Elimu ya Juu) ilitoa siku 30 za wanufaika na mikopo kujisalimisha wenyewe, lasivyo watajikuta wakiwa nyuma ya Nondo!!
Leo ni karibia siku ya 40++ hakuna chochote!
Hapa Board mtambue mnadili na wasomi. Na wasomi na mikwara wapi na wapi!
NANI AKATWE JUMLA 58%?
Ombi langu: Ondoeni riba na retention fee. Tutalipa bila shuruti. Pia rudisheni makato ya 8% kutoka 15% mliyo pitisha kwa mihemko kumfurahisha JPM!!
Hiyo riba (iwe termed kama ruzuku.
Pongezi kwenu kwa kugonga mwamba na ku extend muda wa kuanza kulipa kutoka miezi 12 hadi miezi 24!
Hii nchi ni ya kwetu sote. Hakuna suala la kuhenyeshana hapa!!
DENI HALIFUNGI KWAMWE!!
Kama kuna aliye kamatwa naomba tupeane Update jameni.