Siku 30 za wanufaika na mikopo kujisalimisha, HESLB kulikoni?

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,334
3,004
Wadau kama mnakumbuka HESLB (Board ya mikopo ya Elimu ya Juu) ilitoa siku 30 za wanufaika na mikopo kujisalimisha wenyewe, lasivyo watajikuta wakiwa nyuma ya Nondo!!

Leo ni karibia siku ya 40++ hakuna chochote!
Hapa Board mtambue mnadili na wasomi. Na wasomi na mikwara wapi na wapi!
NANI AKATWE JUMLA 58%?

Ombi langu: Ondoeni riba na retention fee. Tutalipa bila shuruti. Pia rudisheni makato ya 8% kutoka 15% mliyo pitisha kwa mihemko kumfurahisha JPM!!

Hiyo riba (iwe termed kama ruzuku.

Pongezi kwenu kwa kugonga mwamba na ku extend muda wa kuanza kulipa kutoka miezi 12 hadi miezi 24!

Hii nchi ni ya kwetu sote. Hakuna suala la kuhenyeshana hapa!!

DENI HALIFUNGI KWAMWE!!
Kama kuna aliye kamatwa naomba tupeane Update jameni.
 
Wanadai watu ambao wengine hawakukopa,wamekufa,majina hewa hawapo,hahahaaaa
 
Na wale wanasheria waliosema wataenda kupinga mahakamani vip wamefungua shauri.itakuwaje mlikubaliana na mtu mlipane kwa 8% Leo hii unapandisha hadi 15%.
2020 yaja,anza kudai tume huru ya uchaguzi ewe mtanzania.
 
Unajua kuna kitu najiulza, hivi hii riba ni kwa ajili gani? Wanadai sijui kwa sababu ya inflation ila mbona ada za vyu hazichange karibu mwaka wa 6 ada ya chuo changu haijachange ila mkopo wangu unaribaa juu yani zaidi ya ada niliyokua nalipa na wakati ada ya vyuo haibadiliki kwaio hapa jamaa wanafanya biashara sasa na sio kuwasaidia wasiojiweza je kama nikiamua nilipe sasa mkopo wote itabidi nilipe na hio ribaa wakati ada ya chuo haijabalika kwaio kama akikopeshwa mwingne kupitia pesa niliyolipa na bado akalipa same amount ya ada niliyokua nalipiwa mie kwaio hawa jamaa watabaki na cha juu, kwaio hili la kushuka thamani ya pesa ni kwa heslb tuu na sio kwa vyuo, mbona vyuo hawa review ada kila mwaka au wao thamani ya pesa hai waathiri??
 
Kelele za nini sasa, kwani matamko walianza leo. Kama ni kukusanya walishashindwa siku nyingi tu, ni zile kick za msimu tu. Kamwe hatuwezi kusongo bila kuvunja hili dubwana HESLB na kubuni chombo kingine cha mpito wakati unaendelea kuandaliwa utaratibu madhubuti wa kusimamia jukumu la utoaji na ukusanyaji mikopo.
 
Hahaaaaaa members huwa mnanikosha xn kumbe wanatania ? kutuajiri hawataki sa ntarudshaje ukzngatia deni halifungi ata wakitukamata magereza hayatoshi ,saiv baada y kustisha ajira najiajiri na deni wanidaidai mana na wao ulkuwa uk sign unapaga baada ya mwezi Enzymes
 
Pung'o boy

ni kweli hiyo rentetion 6% kwa mwaka wakati hakuna chuo kinachopandisha ada kwa % hiyo kila mwaka

hiyo 6% utakuta 4-5% ni kama makusanyo mapya anakatwa mdaiwa
 
Mnawalipia na wale waliotangulia mbele ya HAKI mkuu
Hapo ndio itakula kwao. Watajikuta gharama za kutusaka zinakaribia 1/2 ya deni lote!!

Kwanza watu wa miaka ya 2010 kurudi nyuma kipengele cha riba hakikuwepo kwenye mkataba (fomu).
 
Wadau kama mnakumbuka HESLB (Board ya mikopo ya Elimu ya Juu) ilitoa siku 30 za wanufaika na mikopo kujisalimisha wenyewe, lasivyo watajikuta wakiwa nyuma ya Nondo!!

Leo ni karibia siku ya 40++ hakuna chochote!
Hapa Board mtambue mnadili na wasomi. Na wasomi na mikwara wapi na wapi!
NANI AKATWE JUMLA 58%?

Ombi langu: Ondoeni riba na retention fee. Tutalipa bila shuruti. Pia rudisheni makato ya 8% kutoka 15% mliyo pitisha kwa mihemko kumfurahisha JPM!!

Hiyo riba (iwe termed kama ruzuku.

Pongezi kwenu kwa kugonga mwamba na ku extend muda wa kuanza kulipa kutoka miezi 12 hadi miezi 24!

Hii nchi ni ya kwetu sote. Hakuna suala la kuhenyeshana hapa!!

DENI HALIFUNGI KWAMWE!!
Kama kuna aliye kamatwa naomba tupeane Update jameni.
PatA update ya leo hapa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom