Siku 30: More action dear friends!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,747
Likes
7,616
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,747 7,616 280
We are expecting to deliver the next round of our contributions to the Tanzanian Red Cross Society sometime tomorrow as our Donations Campaign is winding down. We continue to be of immense gratitude to those who heard the call of charity and the vocation of hope; on behalf of everyone involved we continue to be forever thankful for your stand with us as we stand with other Tanzanians afflicted by the Christmas Day floods.

We have now about 2000 people who are contributing through the sms by sending the word "TPN" to "15522". As you know, 250Tsh will be deducted for registration and for the next 30 days 150Tsh will be contributed to the cause - minus taxes and other fees.

More people have also contributed material and cash; some have done so in Dar and others around the country to the nearest Red Cross Office. I'm urging our people once again and especially our elected officials to join in this cause because empowering the Red Cross is a smart thing to do prior to a major disaster.

Some of the recent events at TPN:
picture.php?albumid=8&pictureid=905

?ui=2&ik=02bbc96fc9&view=att&th=126b9249b0eb2e2f&attid=0.1&disp=emb&zw


Our own Rita from UK who flew for this occasion to hand over our donation.
picture.php?albumid=8&pictureid=904

?ui=2&ik=02bbc96fc9&view=att&th=126b9249b0eb2e2f&attid=0.2&disp=emb&zw


Ruby was the one to donate the materials. Ruby thank u for a kind heart, Please keep it up and may god bless u.

?ui=2&ik=02bbc96fc9&view=att&th=126b9249b0eb2e2f&attid=0.3&disp=emb&zw
picture.php?albumid=8&pictureid=904

Thank you Biju for your prompt action!!Thank you Sanctus for you exemplary leadership, courage to care and unshaken stand as you challenged each one of us to be counted. Thanks to Max, Mike, Invisible and the whole crew at JF HQ. Thanks to Mdau Michuzi for participating in this noble cause.

Please join Today and be counted;

The change we want, is the change we bring!!
 

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
206
Points
160

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 206 160
Haaa haaaa MKJJ! Mzalendo umenifanya nicheke sana. Hii ilikuwa harambee ya ofisini kwetu, watu wamechangia pesa na nguo nk. Tumepata karibu TZS 1.5M na next week tutazikabidhi Red Cross kuptia Kampeni yetu.
 

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,666
Likes
658
Points
280

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,666 658 280
Hongereni sana kwa moyo wa huruma na upendo mlioonyesha na mnaondelea kuonyoesha
Ni wachache sana wenye mioyo kama hii ya kujitoa
mbarikiwe
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,747
Likes
7,616
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,747 7,616 280
By LUDOVICK KAZOKA, 12th February 2010 @ 11:01, Total Comments: 0, Hits: 25

TANZANIA Professionals Network (TPN) has donated an assortment of goods worth over 4m/- to the flood victims in Morogoro and Dodoma regions respectively.

The aid include 20 buckets, 20 blankets, 25 mattresses, 13 cartons of soap and 1.1m/- in cash which will be used to support communities living in the camps. The TPN Vice-President, Mr Phares Magesa, said the aid was a result of the campaign organized by TPN in collaboration with its stakeholders.

The consignment was handed over to the Red Cross at its headquarters in Dar es Salaam yesterday. He said various people sent their donations to his organisation following their campaign which kicked off early January.

"This aid is a results of our initiative in collaboration with our stakeholders in order to help our fellow Tanzanians who have been affected by floods", said the TPN vice- president.

He asked Tanzanians to develop the spirit of helping one another, saying the response for helping the flood victims was not good enough.

"The response actually was not adequate, we should keep on contributing since the floods have affected many people, many have lost their lives plus settlements and properties", said Mr Magesa.

Speaking on the same occasion, the Tanzania Red Cross Society Deputy Secretary General, Mr Peter Mlebusi, thanked TPN and its stakeholders for the initiative to help the people in difficulty.

He said the Red Cross had targeted three areas for assistance to floods victims which include the construction of shelter, providing the victims with the health services plus non food items.
 

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
206
Points
160

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 206 160
attachment.php?attachmentid=8097&stc=1&d=1266000383


Makama wa Rais wa TPN Mzalendo Phares Magesa (Kulia), akitoa maelkezo ya misaada ambayo imekusanywa na TPN na Wadau wake kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Msalaba Mwekundu Bw. Peter Mlebusi (Kushoto). Kulia ni Ofisa wa Utayari wa Majanga Vivaoliva Shoo. Hafla ilifanyika makao makuu ya Chama Cha Msalaba Mwekundu.

attachment.php?attachmentid=8098&stc=1&d=1266000383


Makama wa Rais wa TPN Mzalendo Phares Magesa (Kulia), akikabidhi misaada ambayo imekusanywa na TPN na Wadau wake kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Msalaba Mwekundu Bw. Peter Mlebusi. Misaada iliyotolewa ni pamoja na: Ndoo 20, Magodoro 25, Sabuni Cartoon 10, Vyandarua 15, Mablanketi 20 vyote vikiwa na thamani ya TZS 1,113,700.00. Pia kulikuwa na misaada ya vitu mbalimbali kama nguo nyingi sana, viatu, vyombo vya nyumbani vyote vikiwa mizigo kama 20 vikiwa na thamani ya TZS 2.9M.

attachment.php?attachmentid=8099&stc=1&d=1266000383


Picha ya Pamoja ya Wadau wa Red Cross na TPN. Vifaa vyote vilivyokabidhiwa vina thamani ya TZS 4,013,700.00

attachment.php?attachmentid=8100&stc=1&d=1266000383


No Retreat. No Surrender. Until the job is done. Kutoka Kushoto. Mzalendo Jackson Mayunga Mjumbe wa Kamati ya Utendaji na Mkuu wa Kitengo cha Teknohama TPN, President Mz. Sanctus Mtsimbe and Vice-President Mz. Phares Magesa.

attachment.php?attachmentid=8101&stc=1&d=1266000383


Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Msalaba Mwekundu Bw. Peter Mlebusi akiangalia misaada mablimabli iliyotolewa. Hii ni awamu ya tatu ya misaada toka ianze kutolewa ambayo kwa sasa imefikisha TZS Million 11.
 

Attachments:

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,747
Likes
7,616
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,747 7,616 280
Safi kabisa.. nadhani tumejaribu kufanya kile ambacho hakikudhaniwa kinawezekana; hatuna ubavu na nguvu kama ya Vodacom to mobilize lakini kama tumeweza kukusanya hadi sasa misaada yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10.. I'm really proud of everyone. Kama kwa wiki karibu mbili wakubwa waliweza kukusanya milioni 27 hivi (Vodacom wakaongezea nyingine) tena baada ya kuwabana wasikilizaji wa radio na clout ya ofisi ya Waziri Mkuu.. I believe tumeonesha ukomavu mkubwa na uaminifu mkubwa.. naamini at the end of the final donations tutakuwa tumefikia mahali pakubwa zaidi..
 

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
6,723
Likes
714
Points
280

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
6,723 714 280
Safari hii mbona JF hatukuwasilishwa au ndio tumo kwenye kundi liitwalo WADAU wa TPN? Maana yake hata kwenye taarifa za habari ni TPN tu inayosemwa hakuna JF wala Michuzi!!
 

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
26,270
Likes
26,177
Points
280

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
26,270 26,177 280
Asante sana Mzalendo!

Sikuoni Mkuu mitaa ya kwetu siku hizi, nikutafutie wapi kaka?
.
Nipo nipo tuu, nimeajiriwa kama mfanyakazi wa ndani kwa wazungu fulani, ila najipanga vizuri, niripoti rasmi pale TPN offices, Dar Group, nilipe madeni yangu ya nyuma, halafu nimtafute Max kurekebisa my JF commitment, ndipo niende Kilosa.

Mtsimbe hongera kwa Mbunge wetu mpya, you never know the role played by TPN kumfikisha hapo alipo, na huu ndio mwanzo wa safari tuu.

Keep it up!.
 

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
26,270
Likes
26,177
Points
280

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
26,270 26,177 280
Safari hii mbona JF hatukuwasilishwa au ndio tumo kwenye kundi liitwalo WADAU wa TPN? Maana yake hata kwenye taarifa za habari ni TPN tu inayosemwa hakuna JF wala Michuzi!!
.
Angalizo hili niliwahi kulitoa huko nyuma, Mtsimbe, wewe ndio uliyekubalika na media ya nyumbani, hivyo naomba tuache upon you kuipaisha JF na Michuzi on your presentations. Mwanzoni nilimionac Mx akishiriki phisically kwenye ile presentation ya kwanza, kama itawezekana, tujitahidi someone from JF to be always there during presentation.
 

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
206
Points
160

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 206 160
Safari hii mbona JF hatukuwasilishwa au ndio tumo kwenye kundi liitwalo WADAU wa TPN? Maana yake hata kwenye taarifa za habari ni TPN tu inayosemwa hakuna JF wala Michuzi!!
Wakuu, katika kila hatua tunayofanya wote JF; Michuzi na MKJJ wanashirikishwa. Wakati mwingine ushiriki wa vitendo na uwepo wa Wadau wote husika katika matukio una umuhimu mkubwa. Wana habari nao wa namna yao ya kuchukua habari. Hafla ni 30 minutes, habari ni 20 Seconds. I hope u can figure out ni kiasi gani cha habari kinaachwa nje.
 

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
206
Points
160

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 206 160
Tenda wema uende zako....
Nadhani huu usemi si wa kujenga. TPN haiko kwa ajili ya kumtendea mema mtu wala kutake advantage ya mtu. Kuna mambo makubwa ambayo TPN imefanya tena bila ya msaada wa mtu. You should know what is going on behind the curtain usingesema hivyo.

Ngoja tumalize then we can start post mortem.
 

Forum statistics

Threads 1,203,481
Members 456,787
Posts 28,114,936