Siku 21 za Slaa

MKamaP;
Kitu cha muhimu zaidi tungekuwa tunajadili ni vipi Slaa amea-chive kuwafanya watawala kuwa makini. For the first time in our history Slaa made it. Nobody was able to critisize this [cowardice] government of CCM; from all phases/terms and walk free. Slaa amefanya, na anaendelea kufanya. What makes a legacy, enviable legacy? Mwinyi, Mkapa never made such a legacy; we never know about this coward JK (i call him a thug). Believe me Slaa will be remembered because he made it, he changed the way people think and also how things have to be done.

Mkama P, I don't see where is your sense; why can we call you a human being, you have your conscious mind which differentiates you from an animal, a dog have mind and all like you. But a human can differentiate EPA, thugery, richmond, downs and how our people are dying of malaria only because the government is doing nothing. You may be a genius but I don't see why you go so far thinking Mr. Slaa has done nothing.

MkamaP, Mr. Slaa has got no army, has got no courts which he can bring a case and be judged well (you know that). He has no police. The Thugs control all the money, the police, courts and the army; the barrel of the gun. What do you expect from Slaa? Unless if you can prove that you are not insane then i can argue with you;

I have been a lurker for sometime but people like MkamaP and armateur Engineer Weborya are off----------- respect!

Mkuu,
wengi hapa, are making Slaa to be more blunt.
 
Tatizo la sisi tunapenda kujibu kwa reference ya ccm, kitu ambacho kinakuwa hakina maana tena ktk ukombozi tunaolilia. Tukiuliza mbona Slaa mzinzi unajibiwa mbona JK mzinzi, ukiuliza mbowe amekopa fedha nyingi na kogoma kurudisha, unaambiwa mbona ccm walichukua EPA, ukiuliza mbona ahadi hii ndogo kabisa kashindwa kutekeleza ,majibu mbona JK kashindwa ahadi nyingii.

Alaa! hawa ndo mnawataka?
Siku Mungu atapowahoji kwanini ulizini mtamjibu mbona padre mstaafu alifanya uzinzi? ama askofu alizini ndio upate kujikinga na gadhabu yake? Inashangaza sana
Pole sana. reference ya CCM! MkamaP, CCM has the goverment; is a ruler for the past 50 years. My grandmother was ruled by CCM all my grandparents, my parents and myself and my offsprings. You are off your thinking. CDM is not a policy maker for now, they are trying to make a government responsible. I 'll do the same if CDM was a governor. Don't loose sense and start pumping steam in somebody's ass.

I respect somebody's own personal and family values. But my point is a government which is irresponsible. Unajua MkamaP, tatizo kubwa labda ungesoma maadili yetu katika marriage na familiy values baada ya Uhuru na mila zetu. Hivi nani ni mzinzi na nani si mzinzi. tuache hiyo topic maana kama tukianza kujadili hili ni lefu mno, hatuna muda wala jibu. Maana hata libido za viongozi wetu huku kwetu hufanya mamuzi ya serikali. Ndiyo maana tunapigania katiba mpya, marriage iwe defined.

Kuhusu madeni. Yes Mbowe alikopa akashidwa kurudisha, then he has to be rsponsible for it. Hakuiba. Yale ya EPA, everything is fake, names, and directors are all fake, and that kind of money was too big to be ignored bearing in mind that MkamaP mother/father needs health care and retirement benefits. You are a coward who hasn't been responsible for the well being of your life, unless you are a beneficiary of the system.
 
Hamis Andrea NZEGA,

January na Nape Hata wapandikize watu laki moja ndani ya Jamii forum watachamsha tuuu, Chadema inakubalika manake inasimamia haki na mapinduzi ya kweli -ccm hamwezi walk the talk principle
 
Pole sana. reference ya CCM! MkamaP, CCM has the goverment; is a ruler for the past 50 years. My grandmother was ruled by CCM all my grandparents, my parents and myself and my offsprings. You are off your thinking. CDM is not a policy maker for now, they are trying to make a government responsible. I 'll do the same if CDM was a governor. Don't loose sense and start pumping steam in somebody's ass.

I respect somebody's own personal and family values. But my point is a government which is irresponsible. Unajua MkamaP, tatizo kubwa labda ungesoma maadili yetu katika marriage na familiy values baada ya Uhuru na mila zetu. Hivi nani ni mzinzi na nani si mzinzi. tuache hiyo topic maana kama tukianza kujadili hili ni lefu mno, hatuna muda wala jibu. Maana hata libido za viongozi wetu huku kwetu hufanya mamuzi ya serikali. Ndiyo maana tunapigania katiba mpya, marriage iwe defined.

Kuhusu madeni. Yes Mbowe alikopa akashidwa kurudisha, then he has to be rsponsible for it. Hakuiba. Yale ya EPA, everything is fake, names, and directors are all fake, and that kind of money was too big to be ignored bearing in mind that MkamaP mother/father needs health care and retirement benefits. You are a coward who hasn't been responsible for the well being of your life, unless you are a beneficiary of the system.

Tatizo ni kwamba unakuwa uko offside hata kabla ya kuanza kujadili, tatizo lako mkuu unanilazimisha kutetea ccm, wakati mie nahoji uadilifu wa Slaa. Mie sitaki kiongozi anayefanana na wa ccm full stop, na ndio maana sitaki uni reference kwa ma thugs wengine.

Mie nipo hapa kuhoji yule yeyote anayetaka uongozi wa kuongoza wananchi.
 
Huyu Bwana anaangalia siku au utekelezaji unaofanywa baada ya watu kupewa siku? Mbona kila kitu waachosema CDM kinafanyika?
 
Wengine ni taifa kwanza awali ya yote blah blah zinaweza zikafanywa na watu kama nyie muliosimama kuhakikisha watanzania tunageuka mawe

Teh teh teh

Nyie wafuata upepo ndo tatizo kuu, CHADEMA hakuna demokrasia kama ilivyo tu kwingine, angalia mlikuwa mnampenda Zitto na Chacha hivi hivi, lakini unafahamu wapi hawa mliacha kuwapenda? ni pale tu walipotaka kuuwania uenyekiti.

Angalia chama gani cha demokrasia hiki, uchaguzi wa wazee msala, uchaguzi wa vijana msala, uchaguzi wa akina mama msala, uchaguzi wa wabunge viti maalumu msalaa, aah. Acheni kutudaganya hapa.

Mimi binafsi nafahamu CHADEMA ni wabovu tu kama walivyo ccm. Wanaongea hata bila kufikiria, na hata wakija kuchukuwa nchi mtachijana tu huko wewe subiri.

Angalia Mbowe wenu, kama anawapenda wananchi mbona ameshindwa kurudisha fedha alizokopa kutoka kwa wananchi? mnashindwa kujiuliza akiwa yeye na access na hizo EPA atazifanyia nini? kwi kwi kwi kwi haki ya nani.
CCM mafisadi lakini na hiyo lineup mnayotetea imeoza vilevile, wana kiu tu na wao lini wataanza kufisadi kikamilifu japo leo wanafisadi kidokidogo hizo pesa zetu za ruzuku.

Chacha alipowaandama kuhusu kufuja hizo fedha hapo makao makuu walisema watatoa mahesabu kuonyesha fedha zilivyotumika, lakini hadi kesho hawatatoa hayo mahesabu.
 
Sasa umekuwa wazi kumbe unapambana na chadema?Njia ile ile ya ulinganishi uliyokuwa unaikataa ndo unaitumia ww hapa.Ndg fikira pana hujenga jamii yenye fikira pana,fikira finyu huongozwa na hisia potofu kama za kwako,kwanini Mbowe asipelekwe mahakamani kwani yuko juu ya sheria?
 
HEHEE Mbegu za new cc hizo kazi ipo....ila msipokubali leo kwamba mko wachache na user name kibao hamtuwezi wajanja wengi basi mtakubali kesho kwamba mmeingia choo cha kike kama mlivo bisha RA,EL,CHENGE, JK Nk ila leo mnakubali........CC Team kajipangeni upya...

Back
Top Bottom