Siku 21 za Slaa

hawa ndio wale wenye user name 20 wanatusumbua watu na akili zetu kujaza ma thread yasio na issue, mwanzo mtu unaangalia unaona labda ni m2 mwenye epeo flani ukiingia ndani unakuta ni luna teki akipambana na lunateki wenzake.....nyambapffffffuuuuuuuuuuuuuu go to hell na campaign yako ya ne CC/M
 
Mkuu,
Ngoja nitoke nje kidogo. Nafikiri watu wa ccm wana akili sana lakini akili yao wanaitumia kwa evil ways , ku-manipulate umma. Huu unaosema ushindi ni failure kubwa sana ktk katiba.

Kwanini, mwanzo umma ulitaka katiba ccm hawakuitaka na nina amini hawataki katiba mpya, lakini wameweza kujigeuza kwamba wao ndo wanataka katiba harafu wananchi wanaipinga. Watacheza na tune hiyo hiyo mpaka 2015 inapita.

Tukirudi ktk 21 za Slaa, mhhhh
Acha upoyoyo wewe subiri uone kama hiyo katiba itachukua muda gani!! lakini makelele ya nini?
 
MKamaP;
Kitu cha muhimu zaidi tungekuwa tunajadili ni vipi Slaa amea-chive kuwafanya watawala kuwa makini. For the first time in our history Slaa made it. Nobody was able to critisize this [cowardice] government of CCM; from all phases/terms and walk free. Slaa amefanya, na anaendelea kufanya. What makes a legacy, enviable legacy? Mwinyi, Mkapa never made such a legacy; we never know about this coward JK (i call him a thug). Believe me Slaa will be remembered because he made it, he changed the way people think and also how things have to be done.

Mkama P, I don't see where is your sense; why can we call you a human being, you have your conscious mind which differentiates you from an animal, a dog have mind and all like you. But a human can differentiate EPA, thugery, richmond, dowans and how our people are dying of malaria only because the government is doing nothing. You may be a genius but I don't see why you go so far thinking Mr. Slaa has done nothing.

MkamaP, Mr. Slaa has got no army, has got no courts which he can bring a case and be judged well (you know that). He has no police. The Thugs control all the money, the police, courts and the army; the barrel of the gun. What do you expect from Slaa?
Unless if you can prove that you are not insane then i can argue with you;

!

Interested Observer salute!
Ila hapo kwenye nyekundu, with ufisadi do you expect even an ounce of sanity to be spared? These people will defend their asses with all they've got, .
They are pretty sure the moment W.P.Slaa (PhD ya ukweli), opens a gate at the state house, there won't be no haven for them, their fat wives, their spoiled kids, and their good-for-nothing pets.
Kwa staili yoyote watakayokuja nayo hawa ni lazima waTZ tulioko JF tuwaonyeshe kuwa Tanzania haiwahitaji mafisadi.
It is not issue of being fans of CDM, we are being united by our common goal, shared poverty amids abundancy of resources, and most of all the blood-sucking monsters mafisadi whose satiety is infinite.
Hicho ndo kinachotuunganisha waTanzania.
but if you keep insisting it is CHADEMA na Slaa (PhD ya ukweli) and so be it.
 
Mkuu,
wengi hapa, are making Slaa to be more blunt.

You merely hope you believed it. You can force yourself to believe. The guy is troubling your asses! And keeps you always offbalance.
The fact is, it is not Slaa, ni watanzania. Having you back under 36million watchdogs lazima upate nguvu.
Slaa ana waTZ over 36mil on his back, hata kama ni wewe utaogopa nini?
hIYO NDO HOFU YA MAFISADI.
 
Mliambiwa Lowasa mwizi-mkabisha
Mliambiwa Rostam Aziz mwizi......aaaa wapi
Mkaambiwa na Chenge Mwizi........ooh hatuna ushahidi

Mwenyekiti anasema hawa jamaa wezi wajitoe kwenye chama siku (90)

YETU MACHO
Na bado hajakubali kuwa Mwenyekiti wao ni haramia
 
You merely hope you believed it. You can force yourself to believe. The guy is troubling your asses! And keeps you always offbalance.
The fact is, it is not Slaa, ni watanzania. Having you back under 36million watchdogs lazima upate nguvu.
Slaa ana waTZ over 36mil on his back, hata kama ni wewe utaogopa nini?
hIYO NDO HOFU YA MAFISADI.

You are dreaming, and the dream being triggered by the so called super heavy macus.

Mie hapa nahoji uadilifu wa la Slaa, wewe unanilazimisha eti niitetee ccm. Kwi kwi kwi.
 
Angalia Mbowe wenu, kama anawapenda wananchi mbona ameshindwa kurudisha fedha alizokopa kutoka kwa wananchi? mnashindwa kujiuliza akiwa yeye na access na hizo EPA atazifanyia nini? kwi kwi kwi kwi haki ya nani.

CCM mafisadi lakini na hiyo lineup mnayotetea imeoza vilevile, wana kiu tu na wao lini wataanza kufisadi kikamilifu japo leo wanafisadi kidokidogo hizo pesa zetu za ruzuku.

Chacha alipowaandama kuhusu kufuja hizo fedha hapo makao makuu walisema watatoa mahesabu kuonyesha fedha zilivyotumika, lakini hadi kesho hawatatoa hayo mahesabu.

Mmh..Mungu aepushie mbali!!

Maana kama Mbowe angekuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Fedha na kuipata channel ya pesa za EPA ndani ya 18 zake, hilo balaa lake lingekuwa sio la kitoto!!
 
Wanajamvi nafikili mtoa hoja alikua na alilotaka kujua kamati kuu ya chama tawala tanganyika cdm ilitoa siku 21 kua kama uchaguzi hautorudiwa watarudi kwa wananchi ndio jibu alitaka na sio kashafa its time we change are amission
 
you are just rag, as usual.

Una haki ya kuwa na hasira MkamaP. Tanzania ya leo imebadilika. Elimu ya uraia imeeleweka kwa kiasi fulani thanks to ufisadi. na hili sihitaji kukuelimisha na ndio maana uko kazini.
Hata bibi yangu kule kjijini Bukima ukitaja jina la Lowasa atamalizia fisadi ilhali hajafika hata Mugango. Nzi hueneza kipindupindu ambacho huua watu wengi ila mwishowe hufa.
Tusi lingine tafadhali.....
 
Tumeshamzoea slaa kazi yake kuropoka tu,kontena lakura tunduma mara mkuu wamkoa wa shy balele kafa,mara siku 21,ilimradi kuropoka ropoka ropoka bila mpango,kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi,tumechoka na uropokaji wa slaa,ajirekebishe.
 
Pia tunasubiri atueleze kuwa baada ya ku compile matokeo kutoka kila kituo cha kupigia kura nchi nzima yeye alipata ngapi na ngapi 'zilichakachuliwa' na mshindani wake, JK alipata ngapi. Aliutangazia umma kuwa angeujulisha mapema iwezekanavyo. Wanasiasa kwa usanii
 
"I like politics but I dont wan't to be a Politician, I am an intellectual, because intellectuals like politics but Politicians like political powers'' - Prof. Shivji
 
WanaJF,
Hatuhitaji kutukanana. Ni ukweli Kamati Kuu ya Chadema ilitoa siku 21. Naomba tuvute subira, tutawatolea Taarifa kamili si muda mrefu ujao kuwajulisha Serikali imechukua hatua au la na kama imechukua ni hatua gani na je inaridhisha au la. Tukikimbilia kutukanana haitusaidii wote. Tuko tuliotoa Tamko, ni vema mkasubiri kauli yetu tunapofahamu undani wa jambo.


Wanajamvi nafikili mtoa hoja alikua na alilotaka kujua kamati kuu ya chama tawala tanganyika cdm ilitoa siku 21 kua kama uchaguzi hautorudiwa watarudi kwa wananchi ndio jibu alitaka na sio kashafa its time we change are amission
 
Tumeshamzoea slaa kazi yake kuropoka tu,kontena lakura tunduma mara mkuu wamkoa wa shy balele kafa,mara siku 21,ilimradi kuropoka ropoka ropoka bila mpango,kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi,tumechoka na uropokaji wa slaa,ajirekebishe.
Inawezekana ni kweli Dr Slaa anaropoka, Je kile kitenda cha Mkulu kuropoka kuwa Jangwani pameuzwa yalke mabati yalizungushwa ua yabomolewe mara moja kumbe ni kituo cha mabasi ya kwenda kasi na hadi leo hii mabato bado yapo. Unaonaje hilo?
 
Inawezekana ni kweli Dr Slaa anaropoka, Je kile kitenda cha Mkulu kuropoka kuwa Jangwani pameuzwa yalke mabati yalizungushwa ua yabomolewe mara moja kumbe ni kituo cha mabasi ya kwenda kasi na hadi leo hii mabato bado yapo. Unaonaje hilo?
watanabe kama unaweza kukutana na slaa mwambie ajirekebishe nakaulizake zakukurupuka marakwamara,kama ile yakusema mkuuwamkoa wa shy amekufa kwapresha alizopandishwa na chadema alijitia aibu namengine mengi tu anaropoka,nilikua namkubalisana ila sasa naanza kupata mashaka nae.
 
Back
Top Bottom