Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
waulize mazuzu wenzako maana shule zeni za kata hazina walimu wa hesabu:sleepy:
wewe husikilizi vyombo vya habari ukajua kwamba arusha meya hatambuliwi au????
Msekwa alisema wanajipanga kukabiliana na Jamii Forum, na huyu mkamaP naona ndo keshakuwa deployed, yupo kazini.
MkamaP peleka ujumbe kwa Msekwa JF ni Home of Great Thinkers, ni sehemu ya kuja na hoja na si porojo mlizozoea CCM.