PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Avith almachius

Senior Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
167
Reaction score
170
Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
 
Kwa nini alishindwa kufanya mabadiliko ya katiba miaka minne kabla ya uchaguzi??
 
Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
#D09

Maridhiano pelekeni kizimkazi,
 
Tunarudi kulekule, kama ni suala la KATIBA basi atupe ile KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA WANANCHI chini ya Jaji Warioba

Maridhiano sidhani kama Wapinzani wapo tayari.
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Viongozi wetu wawe wanapimwa afya ya AKILI kabla ya kupewa uongozi!
 
Atoke kwanza atupishe tubadili katiba. Hatumtaki kwanini yu atuganda huyu yailah?
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Wakati wa mungu ndo wakati sahihi
Huyu mungu ambaye anaona huu ndio wakati sahihi wa kuleta katiba baada ya maelfu ya watu kupigwa risasi kiholela naye atakuwa sadist katili mwenye matitizo asiye na akili.
 
Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Alichosema ni kwamba, waliahidi jambo hilo wakati wa kampeni. Hata h8vyo, kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, ameunda tume ya kutambua kiini cha vurugu.

Tume itawezesha kuunda kamati ya maridhiano.

Maridhiano ndio yatafuatia kuanzisha mchakato wa katiba. Kwa hiyo, sio tena ndani ya siku 100 - hii ni kutokana na vurugu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom