Hawape Mabadiliko ya katiba yatakayo mpeleka jela watanzania sio wajingaKwa nini alishindwa kufanya mabadiliko ya katiba miaka minne kabla ya uchaguzi??
Tume ya nini kuchunguza nini wakati tatizo ni yeye mwenyewe hatakiwi wanataka tume huruAlichosema ni kwamba, waliahidi jambo hilo wakati wa kampeni. Hata h8vyo, kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, ameunda tume ya kutambua kiini cha vurugu.
Tume itawezesha kuunda kamati ya maridhiano.
Maridhiano ndio yatafuatia kuanzisha mchakato wa katiba. Kwa hiyo, sio tena ndani ya siku 100 - hii ni kutokana na vurugu!
Tuna taka kupigwa changa la macho.. Tume ijichunguze yenyeweTume ya nini kuchunguza nini wakati tatizo ni yeye mwenyewe hatakiwi wanataka tume huru
Haya mambo yote kwanini hakuahidi kipindi cha kampeni?Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Font yako inatupa shida sie wazee wenye matatizo ya machoYeye mwenyewe ndio kaleta matatizo
Yeye mwenyewe ndio kaleta matatizoFont yako inatupa shida sie wazee wenye matatizo ya macho
Hapo sawaYeye mwenyewe ndio kaleta matatizo
Mama gani!?Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Amani bila Haki. HADAA!!Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Mpaka uumize watu ndiyo utafute maridhiano? Ngoja kwanza vi Gen-Z vimalize kimuhemuhe mengine yatafuata baadaye!Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Inafikirisha na kusikitisha sanaKwa nini alishindwa kufanya mabadiliko ya katiba miaka minne kabla ya uchaguzi??
Vp ndg unaweza kuwa na hyo rasimu ya warioba niipitie na mm maana nimeitafuta sana bila mafanikioTunarudi kulekule, kama ni suala la KATIBA basi atupe ile KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA WANANCHI chini ya Jaji Warioba
Maridhiano sidhani kama Wapinzani wapo tayari.
Hapo ningeona japo tu neno haki,dhamira ya kufanya hivyo ingepata japo kauzito,ila neno hili hili amani bado kunishawishi.Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60