PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan

PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Rais wa nani kachaguliwa na nani?
Muuwaji anajichunguza vipi?

Maridhiano na nani?

TANGANYIKA NDIO MUHIMU KWETU
Kila mtu aende kwao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom