iCode
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 770
- 459
Sasa kama alikaa madarakani kwa muda wa siku 800 akiwa Waziri Mkuu na hakufanya hayo atawezaje ndani ya siku 100? Tumia akili. Lowasa ni sumu iliyojificha ndani ya asali
1. Hakuwa RAIS
2. Alikuwa CCM
3.Alizungukwa na mfumo mchafu ufanyao kazi kwa mazoea na sio kwa ufanisi
Machache aliyoyafanya ni NOTABLE, japo hayakufikia kiwango ambacho kilitakiwa kwa sababu Misisiemu walienda haendani na mfumo wao wa kuiba kupitia miradi ya wananchi.