Siku 100 za Edward Lowassa Madarakani

Siku 100 za Edward Lowassa Madarakani

6. Kuhusu tatizo la maji nchini, Lowasa alikuwa Waziri wa Maji na wakati huo hakuweka mipango yoyote ya kuondoa tatizo hilo. Hata jimbo la Monduli analoliongoza, wananchi wanakunywa mikojo ya Ng'ombe kwa kukosa maji safi na salama licha ya yeye kujinasibu kuwa anauchukia umaskini. Kwa sasa serikali inatekeleza mpango kabambe wa kuondoa tatizo hilo kwa vijiji vyote ambapo kila mwaka halmashauri hupewa fedha za miradi ya maji kwa vijiji zaidi ya 10

Alitoa maji kutoka Mwanza kwenda Shinyanga. Na plan yake ilikuwa ni kuyapeleka Dodoma via Singida... In that case mikoa zaidi ya 7 ungefaidika na huo mradi
 
All falls in short plan of about 2 (60 dys) 2 months. Kwanza hayo matatizo yote hayakupaswa kuwepo
nimependa uwazi wako,kwa mamlaka ya rais hayo matatizo ni kutoa amri na utekelezaji unaanza,wakat nchi ina hali ngumu watu walisoma bure iweje leo ishindikane?tatizo la folen dar ni ufinyu wa upeo tu
 
10. Kuhusu kufuta kodi zote kwa mazao ya mifugo na kilimo, hapo ndipo anapojidanganya. Najua yeye anamiliki ranchi kubwa pamoja na ndugu yake Sumaye. Anataka ile mifugo ambayo anafuga na mabepari wenzake wasilipe kodi na serikali isipate chochote. Mtu ambaye anafikiria kutokusanya kodi basi huyo ni kiongozi juha kabisa
 
1. Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi.

2. Umeme wa uhakika nchi nzima.

3. Kuanzisha mchakato wa katiba mpya.

4. Kupunguza foleni Dar-Es-Salaam na miji mikubwa.

5. Kuondoa kero kwa wafanya biashara ndogondogo (Machinga), Mamantilie na bodaboda.

6. Kuweka mipango kabambe ya Kumaliza tatizo la maji nchi nzima.

7. Mfumo bora na rafiki kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa.

8. Kufuta ada na michango kwa wanafunzi kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.

9. Kupunguza kodi ya mshahara kwa wafanyakazi (PAYE).

10. Kufuta kodi zote za mazao kwa wakulima, wavuvi na wafugaji.

11. Mkakati wa kukuza michezo, sanaa na utamaduni.

12. Kuunda tume maalum ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima.

13. Kuanzisha kituo kila wilaya kutoa huduma za serikali (one~stop centre).

14. Kuboresha maslahi ya watumishi wa vyombo vya usalama (polisi, wanajeshi, Takukuru). Kuboresha maslahi ya walimu, watumishi wa afya na watumishi wa serikali kwa ujumla.

15. Kuweka dira na mipango ya kuelekea katika uchumi wa kipato cha kati.

Magufuli anaiimba ilani ya Mkapa, Jakaya na Mwinyi kwa pamoja.
Hawana jipya.
 
Ile ilani aliyotuambia tukaisome kwenye website ameachana nayo, siyo? Kila siku anabadilisha vipaumbele!

Hakuna jambo baya kama mtu kutumia hali ya maisha ya watu wengine ili atimize malengo yake ya kisiasa! Lowassa amekaa CCM miaka 40, na sehemu zote alizopita ameacha makovu. Hapo kwenye maji. Mbona alivyokuwa waziri mkuu hakusema chochote kuhusu machina na mama ntilie?

Kuna tofauti kubwa sana kati ya ilani na vipaumbele. Haya ni mambo atakayoanza nayo ndani ya siku 100
 
10. Kuhusu kufuta kodi zote kwa mazao ya mifugo na kilimo, hapo ndipo anapojidanganya. Najua yeye anamiliki ranchi kubwa pamoja na ndugu yake Sumaye. Anataka ile mifugo ambayo anafuga na mabepari wenzake wasilipe kodi na serikali isipate chochote. Mtu ambaye anafikiria kutokusanya kodi basi huyo ni kiongozi juha kabisa

Hivi Tanzania kuna watu wanalipa kodi ya kilimo na ufugaji?
 
11. Kuhusu mkakati ya kukuza michezo, sanaa na utamaduni, hilo utekelezaji wake hauwezi kufanywa ndani ya siku 100. Utawala wa JK umekuwa rafiki sana kwa wasanii. Ndo maana tunaona akina Diamond wanafanya collabo na wasanii wa nje tena wakubwa wakubwa. Pia tunaona wasanii wa Tanzania wanashiriki kwenye tuzo mbalimbali za nje ya nchi
 
Tatizo mnadhani serikali inaendeshwa Kama saccos yake pale monduli.

CCM imedumaza watu kiakili sana.... Yaani kwa upeo wako unaona hayo mambo hayawezekani.... Duuuh kweli akili zinatofautiana....
 
12. Kuhusu kuunda Tume ya kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji, Lowasa akiwa Waziri wa Ardhi ndiye Waziri anayeongoza kwa kuchochea migogoro badala ya kuitatua. Hana jipya. Huu ni ulaghai mwingine. Lukuvi amefanya kazi kubwa ya kurekebisha makosa yaliyofanywa wakati wa utawala wa Lowasa
 
Ndio dhumuni zima la mabadiliko na lengo nzima la kufumua mfumo wa CCM
 
11. Kuhusu mkakati ya kukuza michezo, sanaa na utamaduni, hilo utekelezaji wake hauwezi kufanywa ndani ya siku 100. Utawala wa JK umekuwa rafiki sana kwa wasanii. Ndo maana tunaona akina Diamond wanafanya collabo na wasanii wa nje tena wakubwa wakubwa. Pia tunaona wasanii wa Tanzania wanashiriki kwenye tuzo mbalimbali za nje ya nchi

Hatimililo zao zikoje?..... Tatizo la wasanii ni kufanya colabo na wasanii wa nje au ni HATIMILIKI!
 
12. Kuhusu kuunda Tume ya kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji, Lowasa akiwa Waziri wa Ardhi ndiye Waziri anayeongoza kwa kuchochea migogoro badala ya kuitatua. Hana jipya. Huu ni ulaghai mwingine. Lukuvi amefanya kazi kubwa ya kurekebisha makosa yaliyofanywa wakati wa utawala wa Lowasa

narrow minded
 
Huo urais atakuwa amepata wa wapi?coz watanzania wengi wanajua hana sifa na hawako tayari kumpa kura kwani wanatambua kuwa huyo ni fisadi na yuko katika harakati hizo kwa maslahi binafsi na Sio vinginevyo,hatufai
 
1. Hakuwa RAIS
2. Alikuwa CCM
3.Alizungukwa na mfumo mchafu ufanyao kazi kwa mazoea na sio kwa ufanisi

Machache aliyoyafanya ni NOTABLE, japo hayakufikia kiwango ambacho kilitakiwa kwa sababu Misisiemu walienda haendani na mfumo wao wa kuiba kupitia miradi ya wananchi.

Usijidanganye na propaganda za uchaguzi wewe. Waziri mkuu ana mamlaka yapi katika wizara zote na power yake ni ipi. Yeye ni mkuu na msimamizi wa uongozi wote katika wizara zote. We vipi. Kama kura mpe ila ujue alivulunda yeye na atavulunda tena na tena. # hapa ni kazi tu.
 
Back
Top Bottom