Siku 100 za Edward Lowassa Madarakani

Siku 100 za Edward Lowassa Madarakani

1. Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi.

2. Umeme wa uhakika nchi nzima.

3. Kuanzisha mchakato wa katiba mpya.

4. Kupunguza foleni Dar-Es-Salaam na miji mikubwa.

5. Kuondoa kero kwa wafanya biashara ndogondogo (Machinga), Mamantilie na bodaboda.

6. Kuweka mipango kabambe ya Kumaliza tatizo la maji nchi nzima.

7. Mfumo bora na rafiki kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa.

8. Kufuta ada na michango kwa wanafunzi kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.

9. Kupunguza kodi ya mshahara kwa wafanyakazi (PAYE).

10. Kufuta kodi zote za mazao kwa wakulima, wavuvi na wafugaji.

11. Mkakati wa kukuza michezo, sanaa na utamaduni.

12. Kuunda tume maalum ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima.

13. Kuanzisha kituo kila wilaya kutoa huduma za serikali (one~stop centre).

14. Kuboresha maslahi ya watumishi wa vyombo vya usalama (polisi, wanajeshi, Takukuru). Kuboresha maslahi ya walimu, watumishi wa afya na watumishi wa serikali kwa ujumla.

15. Kuweka dira na mipango ya kuelekea katika uchumi wa kipato cha kati.

yes, sio lile gamba lao, linabwabwaja tu, sera hazieleweki, huwezi kuzidai coz sio tangible. hakuna namna edo lazima awe raisi, na wakithubutu kutupokonya hii nafasi ya kipenzi cha watu edo, wataona nguvu ya umma
 
1. Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi.

2. Umeme wa uhakika nchi nzima.

3. Kuanzisha mchakato wa katiba mpya.

4. Kupunguza foleni Dar-Es-Salaam na miji mikubwa.

siku 100 hazitoshi.
 
Zimebaki siku 23 mikakati ya kuhakikisha ndugu zangu wanakula milo mitati ianze
 
Hatuhitaji mtu ambaye utawala wake ni wa siku 100 tu. kiongozi mzuri ni yule anayepanga mikakati ya zaidi ya muongo mmoja
ww ni kati ya walio athirika na elimu, kwa taarifa yako, raisi yyte duniani anaipimwa uongozi wake kwa siku 100 za mwanzo juh..a we..
 
Jamani mbona tunasahau? hii sirikar ya chichiem ndo iliyo kua ikitenge feza nyiingi ya mgambo ili wapambne na wamachnga na waendesha pkpk na guta na matorori chadema ikasema hawa haw ndo watu wetu ikawajengea hali y kujiamin na elim y uraia wakawa wamoja eti baadae leo ccm wanaona tena ni muhim kwao mgombea moja anasema mgombo wajiandae hv kuna mkweli hapo
 
Mpaka sasa chadema imewafanyia nini.
 
sasa kelele za nini si mkae kimya kama hamna mlilowafanyia

Yaani CCM MNATOA AHADI ZA UONGO KWA VIJANA kwa kuwaahidi maisha bora kwa kila mtanzania na mmeshindwa kutimiza hilo.

Bado haitoshi unasema niache kupiga kelele? Kweli?
 
Back
Top Bottom