Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

basi unamficha mambo mengi sana..kama kupumua unamficha!!. Sa mnaishije? Labda uwe umetunga ila kama ni kweli we unakipaji .
 
Jiachie wewe.....mimi mbona wangu huwa anafurahia sana.

Mhhh hizi savanah zenu nyie ma sister duuh noma!Demu wangu akinywa savanah anajamba kweli kweli tena yananuka mno!

Isha zoea sasa akinywa savanah najua leo hatulali ahahahaha
 
Wakat unaona kijambo jifanye una kikohozi....aambulie sauti ya kikohoz na harufu tu
 
Funga sound proof na bad smell absober then utakuwa unafyatua tu mwanzo mwisho.
 
Mhhh hizi savanah zenu nyie ma sister duuh noma!Demu wangu akinywa savanah anajamba kweli kweli tena yananuka mno!

Isha zoea sasa akinywa savanah najua leo hatulali ahahahaha

Duh hii nyingine tena. Usiku wote huu ninacheka balaa.
 
We kuwa huru bwana, hayo ni mambo ya kawaida sana. Tatizo huwa watu kwenye mahusiano wanataka waonekane kama malaika vile. Yaani mwenzio huwa naachia hayo mabomu na dia wangu anayafurahia kweli. Kuwa muwazi kwake na kama hiyo ndo weakness yako ya kujamba sana anatakiwa ajue mapema sana ili sasa yeye ndo aamue mwenyewe kama ataendelea na hali yako au. Utamficha hadi lini kwa hiyo.
 
Kujamba sio kosa na kama unajamba kwa sauti kama mabomu ya Mbagala pia inaweza kuwa source ya furaha mkiwa pamoja
Ha ha ha
 
WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kweli utoto raha...! Sasa subiri wajanja wasiogopa kujamba mbele yake wakutane na huyo mwenza wako..
 
Back
Top Bottom