Sikio kutosikia vizuri

M2 Makini

Member
Dec 19, 2014
93
33
Habari,

Naomba ushauri au tiba kwa sikio langu la kushoto lina wiki sasa halisikii vizuri yani lipo kama lina maji kwa ndani lakini halina maji nimejaribu kulisafisha kwa pamba halina uchafu lakini bado halisikii vizuri.
 
Habari,
naomba ushauri au tiba kwa sikio langu la kushoto lina wiki sasa halisikii vizuri yani lipo kama lina maji kwa ndani lakini halina maji nimejaribu kulisafisha kwa pamba halina uchafu lakini bado halisikii vizuri,.

see the doctor....sikio si la kuchezea na wala kutia kitu ndani....kama unatumia sana head phone acha. linaweza kuwa na ukungu
 
Mi mwenyewe sikio LA kuria linanisumbua sana kwa mda mrefu, nakuwa sisikii vizuri kulinganish na mwanzo nimeenda hospital wameengalia ngoma za sikio wanasema hazina tatzo nikaamua kwenda hospital tofaut na mhimbili, lakini vipimo vilevile walitumia had sasa bado hali inanisumbua sana, naomba kwa Mwenye kujua tiba sahihi anisaidie,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom