Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,144
- 1,300
Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA TUNATIKI na Rais wetu ni Dr. SAMIA SULUHU HASSAN, aendelee kutuletea suluhu ya matatizo yetu wananchi
Fuatilia hapa: LIVE - Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao, Dodoma, 26 Julai, 2025
Fuatilia hapa: LIVE - Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao, Dodoma, 26 Julai, 2025