Sikiliza PDF files badala ya kusoma!!!

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Unaweza kusikiliza badala ya ksoma kwa pdf file lolote kama unayo Adobe Reader 7.0 or 6.0, na shortct ni kama ifuatavyo:

Ctrl+shift+b - to hear the entire Document
Ctrl+shift+v - to hear the page
Ctrl+shift+c - to resume
Ctrl+shift+e - to stop

Fungua pdf file lolote na ujaribu,huamini?.... unbelievable.
Hivyo unaweza kuwa na lacture zako huku ukiwa umekula pozi kwa kutumia Reader 7.0

Ili uweze kusikiliza unatakiwa kuactivate hii service,check kama ifuatavyo

View----->Read Out Loud------>Activate Readout Loud

Kwa mada na elimu kuhusu mambo ya ICT tembelea Afroit Forums
 
It works for me. I have Adobe reader 8.0!!!! I did not know this before!!!
 
Kuna mwimbo Michael alisema Kama tutakaa pamoja na kufanya mambo yetu kwa umoja basi hakuna litakalotushinda so nami ninaamini ipo siku na sisi tutakaa pamoja na kufanya mambo mengi ya maana.
Tusisite ushare kila tulijualo kwani hata kamstari kako kamoja kanaweza kwa na msaada kwa watu ma nne,Tatizo letu wengi ni kuwa ni wachoyo wa elimu.

Kwa mada na elimu kuhusu mambo ya ICT tembelea Afroit Forums
 
Kweli JF ni Great thinkers, mimi nilikuwa sijui kama kuna kitu kama hicho. Mimi natumia Adobe Read 9 aisee inatwanga maneno si mchezo. Ngoja nitafute PDF ya kiswahili nione itakuwaje.

Kilongwe tunakushukuru sana kwa kutupa kitu kipya. Big up mkuu
 
Unaweza kusikiliza badala ya ksoma kwa pdf file lolote kama unayo Adobe Reader 7.0 or 6.0, na shortct ni kama ifuatavyo:

Ctrl+shift+b - to hear the entire Document
Ctrl+shift+v - to hear the page
Ctrl+shift+c - to resume
Ctrl+shift+e - to stop

Fungua pdf file lolote na ujaribu,huamini?.... unbelievable.
Hivyo unaweza kuwa na lacture zako huku ukiwa umekula pozi kwa kutumia Reader 7.0

Ili uweze kusikiliza unatakiwa kuactivate hii service,check kama ifuatavyo

View----->Read Out Loud------>Activate Readout Loud

Kwa mada na elimu kuhusu mambo ya ICT tembelea Afroit Forums

Mkuu hongera kwa kufanya home work yako vyema. Mimi nina Adobe Reader 9.0, jamaa ananisomea moja moja kushinda hata mwalimu wangu. Ila huyu jamaa ni Kanumba kwelikweli kwenye Kiswahili, nimecheka ile mbaya...lol (Pole mtani wangu Kanumba, it's just a joke)
 
Yeah, I tried this some time ago.Adobe needs to up their ante with the robotic text-to-speech, it is worse than the Kindle 2.
 
Kwa wale wenye kutumia window Vista, unaweza kutumia program iliyokuwemo kwenye PC yako inayoitwa Narrator.

Click start > accessory > easy access > narrator.

Itakusomea kila aina ya file unayotaka.

Vile vile unaweza kutumia program ya ku-dictate (Speech Recognition) kazi yako kama umechoka kubofya bofya. Kwa ufupi unaweza ku-control your computer by voice. Kila kitu hata kufungua na kufunga, kutuma email nk.
 
Haa hata mi nimejaribu inafanya kazi,shukrani mkuu,nimewaonyesha na wenzangu nao wameshangaa na pia kuna jamaa zangu wakenya wamenikuta nikisikiliza files zangu nao wamestaajabu,thx mkuu
 
Back
Top Bottom