kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara.
Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa maji ya masafi badala ya maji ya GSM ni kichekesho siku hizi.
Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka Simba kwasababu mo hatoi pesa zake kwa wakati. Mfano, hela ya bonus za wachezaji kuelekea derby ameituma tarehe 23 wakati mechi ya derby ni 25 June wakati mchakato wa kuandaa timu na ule wakibenki ili kutoa fedha hadi ziwafikie wachezaji unafahamika. Simba inawakosa wachezaji kwenye usajili kwakuwa mo hatoi fedha za usajili kwa wakati, lakini hawa jamaa akina Dr. Mo wanataka kumwangushia mgunga Mangungu.
Mzee Shaban Kamwe nae Katoa mpya kumchanganya Rais Samia kwenye mchafukoge wao. Amtaja mama kama shabiki wa Yanga, sijui akiambiwa apeleke ushahidi atakuwa nao. Mama Katoa goli la mama na ndege kwa Simba na Yanga bila kubagua.