Jf nilijiachia snaa ,π najivunia vijana nane nimewapa ajira za kudumu huko moro, ila kwa sasa acha nilewe tuπ , tunaitafuta krismasi Bwashee π€£π€£π€£π€£Mara moja moja onesha upendo hata random tu bwashee.
Wengine wana maisha magumu sana unaweza kufanya kama sadaka hata usiwatake kimapenzi uwasaidie kwa roho nzuri tu.
Unaweza kuona mtu anadanga kumbe kweli ana njaa hana hela ya kula.
Wakagi wewe tatizo lako una chakula kingi zana unajizuia kula.
Bwashee,Jf nilijiachia snaa ,π najivunia vijana nane nimewapa ajira za kudumu huko moro, ila kwa sasa acha nilewe tuπ , tunaitafuta krismasi Bwashee π€£π€£π€£π€£
Na hapo ndio kwanza yupo chupa ya 4 tu.Ushaanza kubadilika kama kinyongaππ,
π€£π€£π.. keyboard warriors en wan en tuuzhuwa napenda sana namna wanawake tunawaumiza vichwa mkiwa mitandaoni, ila nyuma ya keyboard hizo Pesa mnatupatia tu like nobodyβs business..!ππ
Bwashee nilisha wahi kuoa kwa ndoa takatifu, kanisa katoliki , na nikaenda ukumbuni kwa harusi , kabla ya hapo nilivisha peta ya uchumba ina tanzanite π kiasi chake, na kwenye ndoa nililipa peta za gold milioni kumi na mbli ya kwangu na yakeπBwashee,
Ushawahi kutambulishwa kwa wazazi siku ya pili kumjua mtu? ππ
Hiyo style inaitwa "Faster than a speeding bullet".
wewe sindo ukilewa wanakupenda mbn inaonyesha hawanahaja kukuombaKijana usikubali kuombwa pesa na mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa sikuπ€
Utakuja lia mno na kulaumu dunia π€£π€£
Labda kama unataka kuichapa na kusepa tuπ€
Hari ni nini?Inategemeana na hari aliyo nayo!!!
Wala mapupu jaribuni hata kujificha , hapa upo uchi kama mbuzi Pumbavu sanaBackdoor hupajui mkuu? Kwani si yeye kaomba na wewe kwanini usimuombe akinyima na wewe unanyima tu, huo ni mtihani asiporuka hapo akasema "ooh mimi nyuma sikupi" na wewe unakua umesave kibunda.
Hii hoja inaenda moja kwa moja kuwa ww ni mla nyumaNa wewe akiomba iPhone 18 unaomba mbele akiongeza mahitaji akataka kodi ya nyumba sijui baba mwenye nyumba anasumbua na wewe pandadau omba akupe nyuma, atajifunza mwenyewe kutokana na tabia yake. Hakimbii mtu mwendo ni ule ule Quid-Pro-Quo. Ishi humo.
Kama umesimama kiimani kumlea mkeo mmojaMkono mtupu haulambwi, we tia hela.
Toa sasampa hizo. Penzi chukuchuku halinogagi.