Sikatai mwanamke kuomba pesaa, ila πŸ€”

Siku ya kwanza mnajuana unaombwa iPhone.

Siku ya pili unaombwa kodi ya nyumba.

Kimbiaaa.
 
mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa sikuπŸ€”

Hawa ni ruba wabaya ,ambao kibumbu chao ni ofisi zao , utakuja lia mno na kulaumu dunia 🀣🀣
Huyu ni wa kumuelekezea Lodge iliyokua karibu na kwenda kumgonga ukimaliza unampa hio 5000 akaendelee kumlea mtoto alieachiwa na Bwana wake wa zamani, full stop.
 
Siku ya kwanza mnajuana unaombwa iPhone.

Siku ya pili unaombwa kodi ya nyumba.

Kimbiaaa.
Na wewe akiomba iPhone 18 unaomba mbele akiongeza mahitaji akataka kodi ya nyumba sijui baba mwenye nyumba anasumbua na wewe pandadau omba akupe nyuma, atajifunza mwenyewe kutokana na tabia yake. Hakimbii mtu mwendo ni ule ule Quid-Pro-Quo. Ishi humo.
 
Mimi hata 2500 kwa mwanzoni ni red flag napigaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wewe wanakuona hujafika matawi ya iPhone na kodi ya nyumba bwashee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unamsalimia mtu tu hapo hapo ana njaa hana nauli ya kurudi kwao.

Anataka 50,000 ya kula.

I'm like "You can't even think big, you are insulting me with these petty cash asks"

Julius Caesar kabla hajawa mfalme, alitekwa na maharamia baharini.

Sasa wale maharamia wakawa wanataka walipwe pesa ili wamuachie huru. Wakataja pesa fulani.

Akasema atawakamata wote awapige pigo takatifu.

Lakini kabla ya hapo aliwakasirikia sana.

Julius Caesar alikasirika sana kwa kuwa maharamia wamemtajia pesa ndogo. Kwamba maharamia wamemdogosha thamani yake kwa kutaka ransom ndogo.

Sasa na mimi hawa maharamia wa leo wakiniomba pesa ndogo nakasirika kama Julius Caesar πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† , wanaona wanadai wewe mangi ni mbahili mno πŸ˜…πŸ˜… Halafu mimi nafurahia kuwanyima hela na wanaona ninayo kwa kiasi fulani cha kumudu hivyo vikorokoro vyao kama iPhone πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna manzi yeye alikua hataki mambo makubwa alikua anapenda nimnunulie Red Bull tu yaan nikimnunulia Red Bull kadhaa nikaenda kumpa baada ya kunywa anakua kalowana chupi yote, baada ya hapo ni mwendo wa mgongo mgongo tu inama inuka humu tu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† , wanaona wanadai wewe mangi ni mbahili mno πŸ˜…πŸ˜… Halafu mimi nafurahia kuwanyima hela na wanaona ninayo kwa kiasi fulani cha kumudu hivyo vikorokoro vyao kama iPhone πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mara moja moja onesha upendo hata random tu bwashee.

Wengine wana maisha magumu sana unaweza kufanya kama sadaka hata usiwatake kimapenzi uwasaidie kwa roho nzuri tu.

Unaweza kuona mtu anadanga kumbe kweli ana njaa hana hela ya kula.

Wakagi wewe tatizo lako una chakula kingi zana unajizuia kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…