Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
- Thread starter
- #41
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, samaki mkunje angali mbichi.Huyo anaelewa sana, sema ulimzoesha hivyo acha kama wiki hivi jifanye kama hupo uone.ukiona habadiriki mwambie unaleta mwnamke mwingine amsaidie tu, halafu jioni anaondoka ila sio house girl, mwambie ni rafiki yako unataka amsaidie majukumu.Kama bado mwambie baba na mamake!
Naamini atabadirika, kama still bado tafuta nyumba ndogo!!
Wewe unanipeleka mbali mkuu, Nyumba ndogo wakati kubwa bado haijaisha mzee?mie sio fisadi mkuu