britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,035
- Thread starter
- #41
Kuna codes kadhaa nimeshapewa alert na watu wangu , lakin Simaanishi wananijua mimi ni nani ila so vema kujiamini kuputuliza
Uzi nilileta kuwa Je Rais atawajibika kupotea kwa saa nane?
uzi huu una madhara nadhani
Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania
Akiwa Waziri katika awamu mbali mbali alikuwa ni mwana CCM na waziri anayefanya kazi na utendaji wake ulikuwa juu kuliko mtanzania yeyote aliyekuwa katika uongozi au sekta yeyote ile ya serikali, Utendaji wake ulikuwa mkubwa kuliko hata madaraka aliyo nayo, maono yake yaliona mbali kuvuka mipaka...