Sasa mbona moyo wako ndo umemweka wa mwisho? Au moyo ana thamani ndogo?
The secretary mbona wewe ni mdogo wangu wa kike? au umesahau?Mimi hata sijui
Judgement aliyeko moyoni hata kama aukimweka wa mwisho si kwasababu ya umuhimu wake bali ni kwasababu popote alipo yuko moyoni mwangu. hya nimabie wewe nafasi yako ni ipi ama nikutengee chumba kipi? kaka , dada, mdogo, mzee wa jamv au? nambie banaEti eeh!
Labda ametumia format ya Nyoka! Kwa maana inasadikika roho ya Nyoka ipo mkiani.
Labda japo sina hakika, pengine mtoa mada atafafanua!
Judgement aliyeko moyoni hata kama aukimweka wa mwisho si kwasababu ya umuhimu wake bali ni kwasababu popote alipo yuko moyoni mwangu. hya nimabie wewe nafasi yako ni ipi ama nikutengee chumba kipi? kaka , dada, mdogo, mzee wa jamv au? nambie bana
wana jf ni asbh kazi zinaenda na misuli inabana ila naona niwaletee wafuato na nafasi zao katika moyo wangu na maisha yangu,
Smile @level Eiyer babe S hawa ni wadogo zangu wa moyoni nawapenda sana. and i will always be there for them. Preta charminglady CANtalisa Kaunga SIMilinggirl sweetlady Kipipi Roulette BADILI TABIA Mwanajamii one hawa ni my true female friends. mnanafasi kubwa moyoni mwangu
Zinduna huyu ni kungwi na nyakanga mwenzangu.
ASHA dii Mama Ngina hawa ni mama ushauri wenzangu
Kongosho Erotica hawa ni wazee wa site kama mimi so siri zetu tutaambiana chumbani.
Asprin Dark City cartura mito Speaker Mtambuzi BAK Bishanga( ila ingawa nilikusuta sana lkn unathamani sana kwangu) hawa niwazee wenzangu wa baraza.
@mr rock city Bazazi boss hawa ni male friends wangu. they are ma true brothers.
Maprucino MziziMkavu hawa ni madaktari wangu
Kaizer huyu ni wa moyo wangu
ambao sijawataja nawapenda sana so niambieni ninyi ni nani kwangu kila mtu kwa cheo chake ama ambaye kaona cheo chake kwangu siyo hicho naye pia aniambie. but real ilove jf.
amekuweka?...mimi sijui umeniweka wapi??
amekuweka?...
wana jf ni asbh kazi zinaenda na misuli inabana ila naona niwaletee wafuato na nafasi zao katika moyo wangu na maisha yangu,
Smile LEVEL Eiyer babe S hawa ni wadogo zangu wa moyoni nawapenda sana. and i will always be there for them. Preta charminglady CANtalisa Kaunga [
@mr rock city Bazazi boss hawa ni male friends wangu. they are ma true brothers.
Maprucino MziziMkavu hawa ni madaktari wangu
Kaizer huyu ni wa moyo wangu
ambao sijawataja nawapenda sana so niambieni ninyi ni nani kwangu kila mtu kwa cheo chake ama ambaye kaona cheo chake kwangu siyo hicho naye pia aniambie. but real ilove jf.
Mimi hata sijui
He he he, mie vibrator mwenzio na hatudhuriani tukichukuliana wa mtaani
Ila wa nyumbani hapana 🙂 hata kama tunapendana sawa?
gfsonwin nimefurahi kusikia niko kwenye baraza lako la wazee, safi sana kwa kuwa wazi kiasi hiki. Nadhani ni wengi tu humu ndani tuna classifications na imaginations zetu kibao kwa watu fulani fulani based on their comments and topics they present. Ukimwambia Smile na mwingine na mwingine nao watoe classification zao, unaweza kushangaa sana kwa variations na similarities zitakazojitokeza! But it all well that goes well!
We mama wee ujue bishanga ana gubu la kufa mtu,haya nambie sasa:
1 Kaizer ni wa moyo wako kivipi? Ashadii anayajua haya? ( ngoja nimPM).
2.We na Zinduna wapi na wapi? Atakupoteza huyo uachike,hivi hujui Zinduna yuko chuo cha tano sasa?