Sijui utarudi lini kaka

kwa hiyo kaka yako alikaa nje ya nchi miaka 4 hajui mke wake anaendeleahe??
 
namaanisha hakuja hata nyumbani wakati wa likizo ili kujua kama ni kweli au sio kweli alichokua anaambiwa??
Alichokuwa namwambiaa kilikuwa ukwelii ila naona labda yy alikuwa anachukulia poaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…