Kama vyanzo vyako vya habari ni google, cnn, bbc, na vingine vinavyofanana na hivyo, utakutana tu na "uongo rasmi" ambao huitwa 'taarifa rasmi' Mambo yanaenda KASI sana kule duniani. Hapa tuna amani, lakini yanayoendelea Marekani Australia Canada Ufaransa, nk, mmmh! Ni ujenzi wa fascist...