Sijui tunaenda wapi?

Kwa mtililiko huu ifikapo 2020 hazita tengenezwa tena, itakuwa kupunga upepo tu- kila kitu kitakuwa open wazi menyele menyele!
 
binadamu wa leo anaangalia zaidi vitu kama ecodesign/environmental impacts, gharama za materials... endeleza
 



Miaka 50 ijayo hili vazi litakuwaje?

mimi mwenyewe najiuliza hizi style za chupi za cku hizi, zamani chumpi ilikuwa inafunika ****, kuliona **** lazima ufungue chupi kwanza, lakini sasa lo wenyewe wanaita fungua **** oune chupi, yaani vise versa
 
wakati mwingine huwaza sana jinsi ambavyo magharibi inayvotupeleka puta. Walitukuta hatuna nguo wakatufundisha kuvaa, kushona na hata kutengeneza nguo zenyewe. Sasa wanaturudisha tena kutembea uchi, na sisi tumo tu! kweli hatuna msimamo, lol!!
 
Yaaaah wengi wako wazi siku hizi, eti chupi ni usumbufu, mashine inapata upepo free
 
mmmhhhhh bwana mi nauhakika kuna ya 2010 ....
lakini nikiwaza 2015.. naogopa mawazo yangu lol



Kweli Afrodenzi ya 2010 ipo si unakumbuka niliahidi kukutafutia,lakini bado sijaipata.Ila huko 2015 tena sijui kutakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…