St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Miaka 50 ijayo hili vazi litakuwaje?
hahhahahahah lol iko wapi ya 2010???
Nikimpata mwenye nayo nitakuwekea dia.
asante muheshimiwa .... ingekuwa fresh kama ungeipata ndani ya siku 47....
Zoezi gumu sana hilo naomba hizo siku unifanyie japo 47 times 10.
Miaka 50 ijayo hili vazi litakuwaje?
Miaka 50 ijayo hili vazi litakuwaje?
binadamu wa leo anaangalia zaidi vitu kama ecodesign/environmental impacts, gharama za materials... endeleza
hahhahahahah lol iko wapi ya 2010???
Ya 2010 haipo.Hawavai ki2 sa hivi.
Ya 2010 haipo.Hawavai ki2 sa hivi.
mmmhhhhh bwana mi nauhakika kuna ya 2010 ....
lakini nikiwaza 2015.. naogopa mawazo yangu lol