FundiNgoma
Senior Member
- Dec 26, 2019
- 138
- 282
Unamwomba Penzi ili iweje?Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
Ondoa neno penzi weka kum..a, mapenzi hakuna wanauza k.Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
Achana nae, penzi haliombwi. Aombe k aambiwe bei akiweza àtapewa, kama hela hana hapewi. Si ndiyo Demi ?Unamwomba Penzi ili iweje?
Ukimwambia hivo anasema me sijiuziWajanja siku hizi huwa straight forward kuwa one night ni 20k au 50k na hakuna kujuana mazima baada ya show kuisha.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani tunakuwa wapenzi ili iweje?Ili tupostiane status ama?Unamwomba Penzi ili iweje?
Inawezekana haoni kama upo serious. Nyie wanaume wa kula na kusepa ni lazima mlipie😀Kwani tunakuwa wapenzi ili iweje?Ili tupostiane status ama?
Yaani tunategemea someone who sells her k kuwa mama watoto??? We dogo acha bangi basihawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu.