Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
hataki mgegedo tu anataka real love kwa huyu jamaa!!!,ila wanawake mnashindwa kuelewa kwamba ukimwambia mwanaume kwamba unamppenda ni ngumu sana kwa sisi kukataa unless otherwise uwe mbaya kupita maelezo!!!Awwwwwww! She is in love again!!!!!!! LOVE IS IN THE AIR!!!!!:hug::hug::hug:
Mtege mtege tu, we mkubwa banaaa!!!!!!! Huwezi shindwa! Unakuwa all smiles, eyes contact, kumgusa gusa! You will be fine bana! Mie kubwa lako la maadui nafuatilia kwa ukaribu! :mimba:
you are fake, the story is fake ...and you love attention
Ha haaaa,kweli lkn bana lov haina ujanja eti
umechanganykiwa.....mwambie dingi ako akupeleke hospito upmwe akili
Hakuna mtu anaependa kupoteza anachokipenda Eiyer!
...bt wht if unahisi tu hutopendwa!?
Jamani ss hapo Eiyer ambacho hujaelewa ni nn?
..its nt a joke,true,i lov him, bt nataka nitoke coz nahisi tu hawezi kunipenda/kuwa na mi as long as i hv feelings juu ya yy badly
Huna haja ya kutaka kujua usiyotakiwa kujua kwa kuwa hutayajua kamwe
Kama hatakupenda haikuhusu
Unaweza kumpenda mwingine pia
Kuwaza kuwa hakuna kama huyo ni ujinga kwa kuwa kabla hujampenda huyo ulikuwa unaamini hivyo pia
Jukumu lako wewe ni kupenda kama hakupendi sio suala lako
Kanuni ya maisha iko hivyo!!!!!!!
sasa sikiliza bestie, usimwache aende zake huyo mupenzi, komaa nayee
We mtoto! Ukiona Binti yako anachelewa kurudi ujuwe kakuwa!
Nilivyoelewa mimi anataka atoke kwasababu anahofia anaweza kuvunjika moyo wake iwapo atafunguka kwa huyo jamaa ikisha asiwe na hisia nae au anampenda.Sijakuelewa kabisa
Unasema unampenda halafu unataka utoke?
Hii maana yake nini?
Kuna mtu anataka apoteze anachokipenda?
Nadhani hapa kuna masikhara fulani hivi!!!!!
Nilivyoelewa mimi anataka atoke kwasababu anahofia anaweza kuvunjika moyo wake iwapo atafunguka kwa huyo jamaa ikisha asiwe na hisia nae au anampenda.
christine ibrahim Mfano mzuri kabisa ni uhai...Tunaishi kila siku lakini hatujui mustakabali wa maisha yetu hatujui kama kesho tutaamka salama au ndo mwisho wa maisha yetu naweza kusema ni kama kucheza KAMARI,Tunaamka na tunamshukuru mungu kwa uhai na uzima. Thats why we have to make our lives worth living,cherish and enjoy every single moment of it.
Mapenzi ni hivyohivyo unaweza upendwe au usipendwe lakini haimaanishi kwamba you shouldn´t be able to give your heart to someone or you shouldn´t stop trying...If you love and care for someone and you that know from the depth of your heart you need them I believe you have to confide in them...So that you wont sit later and wonder maybe he could love me but i wasn´t brave enough to explore my feelings towards him...Even though things might not work as planned you might have some kind of relief because you did the best you could!
No siwezi kujiua kwasababu sina uhakika kuhusu kesho,but i am positive that there might be tomorrow for me and thats what keeps me going.Ngoja nikuulize swali litakalokusaidia kufikiri,umesema kuwa anatamani kutoka kwakuwa hajui kama jamaa atakuwa na same feelings,well:
Unaweza kujiua kwa sababu huna uhakika kesho itakuwaje?
No siwezi kujiua kwasababu sina uhakika kuhusu kesho,but i am positive that there might be tomorrow for me and thats what keeps me going.
Back to the topic ,Kuna positive na negatives sides about everything
,tunaruhusiwa kufikiria pande zote mbili lakini kwa usahihi zaidi ni vizuri kuwa based kwenye positivity
,sasa dada yangu mpendwa anaelezea hisia zake from both sides which is OK because she is just expressing her feelings,thinking negatively might be good too because it shows that she is cautious!
Ngoja nikuulize swali litakalokusaidia kufikiri,umesema kuwa anatamani kutoka kwakuwa hajui kama jamaa atakuwa na same feelings,well:
Unaweza kujiua kwa sababu huna uhakika kesho itakuwaje?
Mkuu sijaona mchango wako...............au mtoa mada anaogopa zle fomula za LIFO na FIFO?
Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
pole sana my dear Christine (halafu hili jina!!!!!!)
by the way, usimuambie huyo mkaka kama kama umefall in love kwake but show him how much you care by doing little things.....!
****Action speak louder than words****