Sijui nitatokaje hapa

coz i knw he s nt there 4 mi!!

Hey, nimerudi tena...
Mapenzi mara zote huwa hayaanzi kwa ghafla, huja baada ya kujenga fikra za matamanio akilini. Ni zao la mwisho kabisa la matamanio(mjumuisho wa emotions).
Kila mtu huwa na sababu yake kwa nini kapenda na sababu hizo ndio huwa chachu ya sisi kuzitazama na mioyo yetu kuendelea kupenda zaidi na zaidi...

Ushauri:
Jaribu kuvikwepa vitu ambavyo vinakufanya moyo wako unyong'onyee kwa ajili yake.
Kama hana mtu unaweza ukafanya baadhi ya moves "uchokozi" ambazo usizitumie kama mtego wa kumnasa, bali iwe ni blueprint ya kutaka kujua kama moyo wake wa-dance the same music as yours...
 
Pls, huo umalaya hapa umekujaje!!?
..hiv mtu kumpenda mtu ni umalaya!?
..nitake radhi/futa kauli yako sio nzuri!
.. kila unaemuona hapa usimchukulie hivyo unavyofikiria!
Nakutaka radhi/nimefuta kauli.......... Pamoja na hayo, nilikuwa nakukumbusha utanzania kwa njia hiyo.... ingawa tuna utandawazi....
 

Ha haaa haaa, Ht ww im sure wapo wanaokupenda ila ndo hivyoo
,...u a welcom
 
Hayatuhusu. This is your private business.
 
i think she should also know the negative side ya kujilengesha...
as for me nikikustukia unajilengesha tu... nakula nasepa...then maumivu ni 2times...
 
Ww mwambie tu! Ila akitaka kuingia uwanja wa nyasi nyeus usimruhusu mapema atakukimbia

Ha haa haaa...hili ndo tatizo...though najua mtu km nia yake kukimbia uchelewe au uwahi kumpa atasepa tu
 
i think she should also know the negative side ya kujilengesha...
as for me nikikustukia unajilengesha tu... nakula nasepa...then maumivu ni 2times...

im nt of that kind
 

Thanx..point taken best....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…