Sijui nitatokaje hapa


Dah, hili mkuu gum!
..nway, bt nampenda tu the way alivyo,yaani kila kitu chake!, he cares a lot,halafu ni vitu vidogo tu vya kawaida bt 4 mi nachanganyikiwaaaaaaa
 
Christine ibrahmu dada angu hata sikushauri kumwmbia kuwa umefall, coz hawezi kataa ila atakuacha tuu.
Imenitokea hii. Jaribu kumwekea mazingira ya yeye kusema kuwa anakupenda lakini si wewe.

Nilipiga na nikatambaa na alisema kuwa kanitongoza ila anajua nitamtenda nikamhakikishia kuwa sitamtenda so umakini unatakiwa christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:

...better tell him! Follow your heart mama!
 
Sijakuelewa kabisa
Unasema unampenda halafu unataka utoke?
Hii maana yake nini?

Kuna mtu anataka apoteze anachokipenda?
Nadhani hapa kuna masikhara fulani hivi!!!!!
 
^^
Mapenzi ni duara,
Unapenda..
Unaumia..
Unatendwa..
Unajitenga..
Unajirudisha..
Unafurahi sana..
Unapenda tena..
Mzunguko wa penzi ni sumaku inayovuta.
^^
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…