Cattigo Senior Member Joined Nov 12, 2016 Posts 194 Reaction score 396 Nov 14, 2016 #1 MWANAFUNZI AMUULIZA MWALIMU SWALI #mwanafunzi# :mwalimu eti ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu..????? MWALIMU KWA HASIRA :Swali gani hilo la kipuuzi lazima zitatoa povu sababu zote ni sabuni. MWANAFUNZI :sasa wewe ndio una majibu ya kipuuzi zitatoaje povu wakati hujaweka maji,,??? _ baada ya apo sijui kiliendelea nini _
MWANAFUNZI AMUULIZA MWALIMU SWALI #mwanafunzi# :mwalimu eti ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu..????? MWALIMU KWA HASIRA :Swali gani hilo la kipuuzi lazima zitatoa povu sababu zote ni sabuni. MWANAFUNZI :sasa wewe ndio una majibu ya kipuuzi zitatoaje povu wakati hujaweka maji,,??? _ baada ya apo sijui kiliendelea nini _
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,140 Reaction score 3,333 Nov 14, 2016 #2 kilifuata kilichimsibu mhanga wa mwl. msigwa-mbeya day