Sijui nina mkosi

Sijui nina mkosi

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana JF yaaani nimefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yani itabidi niende kwa mganga aise muda mwingine najihisi nina mkosi
 
mtu ni vile awazavyo..........

wengine wamefanya interview miaka mitatu na kukosa na hawajawahi kuwaza kuwa na mkosi..............na hatimaye wamepata kazi

think positive man........evaluate yourself.....
 
Pole wala usikate tamaa mkuu kuna watu wamekaa miaka wakitafuta kazi ...sasa fikiri wamefanya usaili mara ngapi?
 
Habar wana jf yaaani nmefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yaaan itabid niende kwa mganga aiseeee muda mwingine najihisi nina mkosi

usikate tamaa fursa zipo kibao sio lazima kuajiliwa
 
Interview tatu halafu unalalama? Bado sana mkuu, wakati ukifika utapata kazi
 
Interview tatu!!
Kuna watu wamesha tuma aplications zaidi ya mia mbili na wahajaitwa hata interview moja achilia mbali kuajiriwa.
 
Habar wana jf yaaani nmefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yaaan itabid niende kwa mganga aiseeee muda mwingine najihisi nina mkosi

Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu fursa zipo nyingi tena hazitaji mtaji wowote mfano kuendesha bodaboda,kondakta daladala,tan boy malori, kuvua samaki,kufuga kuku wa kienyeji, siku zinakwenda na kuongeza juhudi kutafuta kazi ukipata si unaachana na hizo fursa ndogondogo??? tha problem nimegundua graduate wengi wanajikweza kwa kujiweka juu wakati awana ata pa kuanzia jitaidi kujishusha vyeo mkuu Mungu akuinue mwenyewe usijiinue kwa akili na nguvu zako!!! Tumbo aliangalii unapata kipato kwa staili gan linataka lijazwe msosi tuu
 
Is a matter of time,we are so many,GOD is with us mine.
 
Habar wana jf yaaani nmefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yaaan itabid niende kwa mganga aiseeee muda mwingine najihisi nina mkosi
Usiwaze negatively kaka. Mimi niko kwenye mkondo huo. Ila Mungu wangu ni mwema sana naamini soon nitakuja kutoa ushuhuda hapa
 
Kazi zipo nyingi sana watu waache kuchagua kazi. Kuna Graduate mmoja rafiki yangu shoe-shiner anavyopata pesa na alivyo na watewa wengi huwezi amini, mpaka anadiriki kuniambia hataki kuajiriwa tena.
 
Kazi zipo nyingi sana watu waache kuchagua kazi. Kuna Graduate mmoja rafiki yangu shoe-shiner anavyopata pesa na alivyo na watewa wengi huwezi amini, mpaka anadiriki kuniambia hataki kuajiriwa tena.

Huwezi kuwa serious.
 
Huo si mkosi...jifunze kwa mapungufu ya usahili wako wa mara tatu.

Badilika na dumisha uwezo wako katika usahili...usichoke kujaribu,ipo siku utaajiriwa.
 
Back
Top Bottom